Nilimfumania dingi akiwa anamgegeda mchepuko

Nilimfumania dingi akiwa anamgegeda mchepuko

Mzee baba kaingiza mchepuko halafu kibinti kibichi kabisa namfahamu ni secretary wake,niliona nikipiga chabo itakuwa ni laana nikaamua kuangusha glass makusudi ikalia "paaaaaaa" wote wakakurupuka ,mzee baba akawahi msuli kujifunga
 
Kwamba baba yako hana akili kiasi cha kuleta mchepuko nyumbani?

Kwamba baba yako ni mbahili kiasi kwamba ndani ana hela ya kutosha kununua laptop ila hela ya gesti hana?

Kwamba baba yako ni mshamba hajui gesti zilipo akaamua kuleta demu nyumbani?

Unamdhalilisha baba yako, hata kama hajui hii komedi uliyoandika.
 
Baada ya masomo unapata kazi takukuru.
Kama umekula rushwa dhidi ya mama ako mzazi, sipati picha kwa wengine.
 
Baada ya masomo unapata kazi takukuru.
Kama umekula rushwa dhidi ya mama ako mzazi, sipati picha kwa wengine.
Mzee mimi pia ni mwanaume unajua niliamua kukaa kimya kuepusha mgogoro
 
Hukupiga chabo alafu ukawaona wakikurupuka, Dingi akachukua msuli na kuvaa?
 
Kwamba baba yako hana akili kiasi cha kuleta mchepuko nyumbani?

Kwamba baba yako ni mbahili kiasi kwamba ndani ana hela ya kutosha kununua laptop ila hela ya gesti hana?

Kwamba baba yako ni mshamba hajui gesti zilipo akaamua kuleta demu nyumbani?

Unamdhalilisha baba yako, hata kama hajui hii komedi uliyoandika.
Hakufikiria mbali alijua atafanya fasta ndo maana aliniita akajua nimelala ili amalize yake.

Ndo hivyo nimetumia fursa vizuri mzee mbahili nikaamua kutumia fursa kupata nilichokuwa nakitaka long time
 
Hukupiga chabo alafu ukawaona wakikurupuka, Dingi akachukua msuli na kuvaa?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaani nilisikia mgegedo nikaamua kabla ya kufika sebuleni full niangushe glass nione reaction.
Na ilibidi nitokee nakuta wazinzi wanakurupukia viwalo
 
Back
Top Bottom