Nilimezwa na chatu mwaka 2008

Simu za camera tangu miaka ya 2005,faza wangu mdogo alikuwa anaenda Kampala kurangua simu zile za kufunua zilikuwa na kamera hapa bongo alikuwa anauza simu moja laki tano, enzi hizo tena anauza mkononi Ila zilikuwa mpya,2008 zilikuwepo simu zenye kupiga picha sema zilikuwa chache.
Babu weng simu wamemiliki miaka ya 2012 kwenda mbele

kilicho akilini kitumie
 
Simu yangubya kwanza kutumia Nokia 5200 ilikua na Camera pia..hiyo ilikua 2009
Simu za camera tangu miaka ya 2005,faza wangu mdogo alikuwa anaenda Kampala kurangua simu zile za kufunua zilikuwa na kamera hapa bongo alikuwa anauza simu moja laki tano, enzi hizo tena anauza mkononi Ila zilikuwa mpya,2008 zilikuwepo simu zenye kupiga picha sema zilikuwa chache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi husema elnino wakimaanisha mvua Kali

Nilivyomsoma sijaona uongo kwenye stori take ila labda Kama imemtokea mtu wa karibu yake
Hii ni ndoto au? Maana ni saa 6 usiku sahivi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada hajasema alipigwa picha na simu.... Hilo swali kaulizwa na mdau fulani kama walitumia simu au camera.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila chatu wa kutaka kummeza mtu mzima mmmhhhh???
Mtoto labda ila so mtu mzima
 
Back
Top Bottom