Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,923
- 3,651
Rose matako wa kibaigwa
Duuh 2005 uko primary..hatar snSiyo legend sana kipindi hicho 2005 nilikuwa najitambua Ila chalii wa primary.
Babu weng simu wamemiliki miaka ya 2012 kwenda mbeleSimu za camera tangu miaka ya 2005,faza wangu mdogo alikuwa anaenda Kampala kurangua simu zile za kufunua zilikuwa na kamera hapa bongo alikuwa anauza simu moja laki tano, enzi hizo tena anauza mkononi Ila zilikuwa mpya,2008 zilikuwepo simu zenye kupiga picha sema zilikuwa chache.
Pole sana mkuu! Tuone hizo picha! Inasisimua sana!
Kwa hiyo Yale ma Siemens,Erickson,sagem,Philips hawakuyaona au kutumia....Tumetoka mbali.Babu weng simu wamemiliki miaka ya 2012 kwenda mbele
kilicho akilini kitumie
Pole sana. Mbeya sehemu gani? Na hao waliopata ujasiri wa kukupiga picha badala ya kukuokoa ni kina nani? Walitumia simu au Camera za kawaida?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawayajui kizaz Cha techno hichoKwa hiyo Yale ma Siemens,Erickson,sagem,Philips hawakuyaona au kutumia....Tumetoka mbali.
We ilikuwa wapi?Duuh 2005 uko primary..hatar sn
Kasulu ulipoa kipande gani MZEE?
Humu kweli tumetofautiana yaani simu ya kamera umeanza kuiona 2008?Unataja simu za mwanzo kuwa n camera unaitaja tecno? Tangu lini hiyo kampuni ikagundua teknolojia mpya. Mimi simu ya kwanza ya camera niliiona kwa brother mmoja alitoka Dubai, 2008 ilikuwa.
Mimi nimehuzunika kutokana na huo muandiko wako mkuu
Yule mama sijui anawaopolea wapi na mafurushi yao😅
Simu za camera tangu miaka ya 2005,faza wangu mdogo alikuwa anaenda Kampala kurangua simu zile za kufunua zilikuwa na kamera hapa bongo alikuwa anauza simu moja laki tano, enzi hizo tena anauza mkononi Ila zilikuwa mpya,2008 zilikuwepo simu zenye kupiga picha sema zilikuwa chache.
Duuh 2005 uko primary..hatar sn
Wakati mtandao wa tritel unaoparate tanzania wewe ulikuwa wapi mkuu?Simu yangubya kwanza kutumia Nokia 5200 ilikua na Camera pia..hiyo ilikua 2009
Sent using Jamii Forums mobile app
TrueEl Nino ilinyesha mwishoni mwa mwaka 1997 na mwanzoni mwa mwaka 1998. Hkujawahi kutokea El Nino nyingine tena!
Mtoa mada hajasema alipigwa picha na simu.... Hilo swali kaulizwa na mdau fulani kama walitumia simu au camera.