Nililala na fisi

Unaposema ulilala na fisi kweli alikuwa ni fisi? Kama angekuwa fisi pasingelalika hapo.kwanza ingerarua hicho kifanyio
 
Mweeeeeeee! Ati fisi? Hii mbaya sana. Best bora umrudie tu bwana na utubu mbele ya hadhara. Heheeee! Tunaomba hizo sites ziwe tagged kwenye google earth ili iwe warning kwa watu wengine. Hata hivyo pole sana.....
 
pole sana..........ila hiyo ndo iwe fundisho sio mnaparamia tu ovyovyo msivovijua usipotulia unaweza jikuta siku moja dushelele haipo.
 
Umefanya vizuri kufikisha hii habari jf watu wote wajue una tabia ya kuendesha basikeli za kulipia kwa masaa, tena unaendesha kwa bidii huku ukisimamia.

hahahahah,iseeh.!
 
Hilo ni fundisho manake uache tabia hiyo chafu kuna siku watakupeleka makaburini ndio ujue habari yake lol
 
Ni kweli ndugu nilipokuwa nagonga alikuwa na sura ya kibinadamu ila alinitisha pale alipokuwa haongei wala hageuki thus why nikamuadithia jamaa yangu. Huyu du ni popular kijijini hapa kutokana na tabia hyo.

....hii story ya m2 kuduu na mwanga leo naisikia mara ya pili maishan mwangu, uliposema upepo nikakumbuka ya kwanza nayo ilikuwa hivo.....huyu ni jamaa kijijini kwetu amefariki dunia mwaka 2011, huyu jamaa one day akaenda kwa nyumba ndogo, kumbe yule dada mwanga...basi wameduuu kisha wakalala, ilipofika saa 6 usiku jamaa alikuwa macho, yule dada akaamka akamgeuza jamaa yan penye miguu pakageuzwa kichwan n viceversa...jamaa kajikausha kama amelala fofo, then yule dada kasepa zake....jamaa kakaaa afu akaamua kulala kama kawaida yan kupinga alivyogeuzwa, ilipofika saa 10 usiku akaamua kuwasha sigara yake na kuendelea kuvuta mdogo mdogo pale chumbani, gafla akasikia upepo unaingia ndani then kukafatia na popo wachache, jamaa anadai kuona vile akajilaza fasta kama alivyokuwa amelazwa mwanzo, punde si punde yule dada karudi na kumgeuza na jamaa akajikausha pia kama amelala fofofo, then asbh jamaa akaamka akasepa na mapenz kuishia hapo na kuanza kuhadithia mtaani......
 
Inawezekana atakuwa amechukua mbegu zangu ila hakuninyoa mavuzi. Alikuwa mtamu sana sijawahi gusa kitu kama kile. Hata mama chanja wangu hayupo hivyo. Ana mashine mnato ile mbaya.



Ee bwana eheee, fisi huyooo unayemzungumzia au? Chunga kauli yako kuna wadhaifu humu JF utawafanya waende Katavi kutafuta fisi wa kimazingira.
 
Sidhani kama ni kweli, kwa maana kama huyo demu alikuwa mshirikina usingeweza kuamka usiku huo, kwani angekuwekea madawa ya usingzi mpaka saa atakayorudi, labda ni wenge la maji ya dhahabu!

mambo ya uzoefu hayo
 
Ee bwana eheee, fisi huyooo unayemzungumzia au? Chunga kauli yako kuna wadhaifu humu JF utawafanya waende Katavi kutafuta fisi wa kimazingira.

Yap wapo wengi sana huko katavi hata mjini.
 
Ni kweli ndugu nilipokuwa nagonga alikuwa na sura ya kibinadamu ila alinitisha pale alipokuwa haongei wala hageuki thus why nikamuadithia jamaa yangu. Huyu du ni popular kijijini hapa kutokana na tabia hyo.
We acha mambo yako bana... hii chenji lazima uirudishe, kwa hoja... hivi hujui kuwa kuna wanawake wengine ngoma ikikolea wanappoteza fahamu? Hapo si utasema kafa? Wengine wanalia kama mbuzi, sa si utasema umelala na mbuzi? Wengine wanatumbua macho ka mjusi kabanwa na mlango, na hawezi kusema chochote kwa wakati huo? Acha bana.... HIVI, KILICHOKUFANYA USEME UMELALA NA FISI NI NINI? HUKO KUAMBIWA? KWA NINI USISEME UMELALA NA MBWA?..
 

Unapofundisha mambo ya MAZINGIRA ujue kuna wenzako wamebobea kwenye MAZINGARA!!!! Funguka sasa; MUZIKI wa fisi ukoje??? Unalipa??? Share your experience tujue ya kifisifisi ikoje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…