Kwa mliomkosa kumuona mama Tunu Pinda, baada ya kuimba imba kipogoro chake cha Uponera, eti akaishia kuwaambia wanawake wenzake kwa kusema 'Nilikuwa natambika sina lolote', na jinsi hiyo tv ya magamba walivyoipa air time hiyo session, mie nikabaki hoi! wake wa wakubwazetu hao!