[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanazo banaTangia lini mwalimu akamiliki 1milioni?![emoji23] [emoji23] [emoji1] hii chai
umekariri maishaUongo inabidi ufanane na ukweli.
Miaka 7 una anza elimu primary,
Miaka 7 mingine unahitimu primary jumla 14,
Miaka 4 secondary jumla 18,
Miaka 2 high school jumla 20,
Miaka 2 diploma ya ualimu uweze kufundisha secondary school jumla 22.
Wewe unasema wakati huo ulikuwa na miaka 20?!!
Au wewe ni wale waalimu wa vodafasta enzi za JK? Miezi 6 baada ya form 6 unakuwa mwalimu?
Fiksi hatari hata mie .nilikuwa nawaza hapa kwa sautii. Mtu waje kufanya sachi then ukae nje na baiskeli kwa mbaliii khaaa...Uongo inabidi ufanane na ukweli.
Miaka 7 una anza elimu primary,
Miaka 7 mingine unahitimu primary jumla 14,
Miaka 4 secondary jumla 18,
Miaka 2 high school jumla 20,
Miaka 2 diploma ya ualimu uweze kufundisha secondary school jumla 22.
Wewe unasema wakati huo ulikuwa na miaka 20?!!
Au wewe ni wale waalimu wa vodafasta enzi za JK? Miezi 6 baada ya form 6 unakuwa mwalimu?
soma vizur iyo nymb ya rafiki yakeMwalimu unaishi kwenye nyumba ya tope??..kijiji gani hicho??
kati ya walimu wa kiume 289,768 waliopo bongo, 288,000 wagonga wanafunzi wao