Nilihitimu Form 4 mwaka 2008, Je naweza kupata mkopo HESLB?

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
232
136
Mim ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa mwaka wa kwanza. Umri wangu ni miaka 29. Nataka kuomba mkopo wa Elimu ya juu; Je naweza kupata?
 
Mim ni mwanafunz Wa Chuo kikuu cha Iringa mwaka Wa kwanza umri wangu ni miaka 29 nataka kuomba mkopo Wa Elimu ya juu je naweza kupata?
Nakushauri kabla ya kuomba jitafakari kwa kina ni njia zipi utatumia kurudisha huo mkopo. Zaidi ulizia ukipewa mkopo unatakiwa urudishe kiasi gani. Mimi pia nilisoma hapo hapo, mwanzo niliumia kukosa mkopo lakini baadae nilishukuru sana Mungu kwa kuniepusha na hilo jinamizi.
 
Back
Top Bottom