Nilienda kuchongesha funguo, nikafanikiwa lakini tatizo hii inafungua milango tu, haiwezi ku-turn on ignition

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
Salam wakuu,

Direct to the point, hii funguo ya Mazda yangu nilienda kuchongesha funguo, nikafanikiwa lakini tatizo hii inafungua milango tu, haiwezi ku-turn on ignition.

Kufuatilia nikaambiwa funguo Ina sensor, so naulizia Kama Kuna sehemu wakuu mnaifahamu ambapo wanatengeneza funguo ambazo zinakua na sensor na unaweza kuwashia gari.

Shukrani!


IMG20210407114103.jpg
 
Mkuu, pale kwenye sehemu ya kuingiza funguo pembeni Kuna kidoti Cha kijani (sensor) ukiweka funguo kinablink ndio ukiwasha inawaka

Kama kuna kidoti kinablink basi huenda hiyo gari ina immobilizer.

Shida ni je hiyo funguo uliyonunua inasensor?
 
Back
Top Bottom