Mtoto wa Jadu JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 458 Reaction score 1,112 Sep 17, 2023 #2 Tafadhari mkuu, elezea kidogo kinachoendelea. Au unamaanisha tuweke mkazo kwenye hiyo picha?
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,609 Reaction score 59,647 Sep 17, 2023 #3 Kiulizo
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,302 Reaction score 13,341 Sep 17, 2023 #4 Upumbavu kama upumbavu mwingine
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,365 Reaction score 24,097 Sep 19, 2023 #5 Mtoto wa Jadu said: Tafadhari mkuu, elezea kidogo kinachoendelea. Au unamaanisha tuweke mkazo kwenye hiyo picha? Click to expand... Anamaanisha hao wakina obama ndio waliivamia libya kumtoa Gadafi wakati libya ikiwa nzuri yenye kila neema na kuiharibu, leo wanajidai kutoa msaada kwenye mafuriko
Mtoto wa Jadu said: Tafadhari mkuu, elezea kidogo kinachoendelea. Au unamaanisha tuweke mkazo kwenye hiyo picha? Click to expand... Anamaanisha hao wakina obama ndio waliivamia libya kumtoa Gadafi wakati libya ikiwa nzuri yenye kila neema na kuiharibu, leo wanajidai kutoa msaada kwenye mafuriko
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 22,685 Reaction score 54,508 Sep 19, 2023 #6 Kwamba unahisi Obama anataka kutapeli wananchi πππ?