Nilidhalilishwa sana lazma nimuumize

Itakusaidiaje?
 
ww mbwa kaa kimya sisaliti damu nasaliti mke. Kamuulize mzee wako alivyofanya kipind ww upo tumbon inamaana na yeye alikuwa kuda?
kuda wewe huna lolote, eti namkomoa ili ashuke thamani, acha kukariri wewe nani kakwambia kuzaa kunashusha thamani ya mtu, au mama yako naye alishuka thamani alivyokuzaa wewe..unajitengenezea historia mbaya mwisho wa siku uje kumsimulia mwanao kuwa nilikuzaa ili kumkomoa mama yako, sijui atakuelewa
 
Fikiria huyo malaika(mtoto) atakavyoteseka, hahusiki kabisa we malizana na huyo msichana achana na mambo ya kutiana mimba!
 
Sasa wewe simu tu kuwekwa loud speaker ndio ikuume hivyo?! Hayo mambo ya kawaida tu, tena ungekuwa mjanja ungempata na hiyo mi loud speaker yake. Hiyo ishu ndogo sana, potezea tu. In life you win some and you lose some. Take it easy maisha yenyewe mafupi haya.
 
kweli vijana wa siku hizi mna mioyo midogo sana.......... huo unaita udhalilishaji wa kuukumbuka mpaka miaka ijayo.

mnahitaji kujifunza sana kwenye hii nyanja ya mitongozano na mapenzi.
 

watu wanatemewa mate au kumwagiwa maji , chomeshwa mahindi vichakani na mbu n.k lakini bado wanakuja kutomba tu........ hawa madogo wa siku hizi hovyo kabisa
 
Ahahahahahahahahahahaha
Kuna kamsemo ka kidhungu
I hate the fact that I love u!
Huwa ni katamu kukaelewa hasa kupitia vimifano hai kama hivi!
 
kweli vijana wa siku hizi mna mioyo midogo sana.......... huo unaita udhalilishaji wa kuukumbuka mpaka miaka ijayo.

mnahitaji kujifunza sana kwenye hii nyanja ya mitongozano na mapenzi.
watu tuliwataja mpaka kwny morning spichi!
Full kuwataja kanisani kwa mama mchungaji
Af bado bidae yaliisha tu!
 
Kumbuka wakat mko shule mlikuwa watoto na pengine ingekuwa vigum mtu kuamini kuwa ahadi unayotoa ungeitunza kwa miaka yote.....hauhitaji kulipiza kisasi,kumbuka kumpa mimba ni kuongeza ukubwa wa donda

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

fis maji ww tulia usikariri kuwa kila mtu anamtolea kauli kama hizo mwanaye? Usifikiri anavyokutamkia baba yako maneno unafikir wote ndio walivyo? Ww anakutamkia maneno hayo babayako kwasababu hana uhakika kama ww ni mwanaye anauhakika alibambikizwa... Adhabu ya mama haiwez kumwathir mtoto mzigo kama Pinda ww
 
Kumbuka wakat mko shule mlikuwa watoto na pengine ingekuwa vigum mtu kuamini kuwa ahadi unayotoa ungeitunza kwa miaka yote.....hauhitaji kulipiza kisasi,kumbuka kumpa mimba ni kuongeza ukubwa wa donda

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

yes!! Hilohilo donda ndio nataka alipate alinidharau sana na kejeli juu. Hapa dawa ni kuumia tu
 
Kama huna mpango nae achana nae kuliko kumfanyia hivyo sio vizuri kulipiza kisasi na isitoshe kipindi hicho ni utoto ndo uliokuwa unamsumbua
 

Amesha soma uzi huu humpati tena
 

Then baada ya hapo utafaidika na lipi,simple u still love the chick that's why it still hurts,,,mweeee
A6
 
watu tuliwataja mpaka kwny morning spichi!
Full kuwataja kanisani kwa mama mchungaji
Af bado bidae yaliisha tu!

yaani hiyo ni kawaida sana , zamani tuliposoma sisi boarding kwanza simu zilikuwa hamna ni kuandikiana barua na mwendo ulikuwa ni huo huo wa barua kusomwa na watu wote na tuliokuwa st. kanumba hatujui english ilikuwa full kuchoreka lakini mwisho wa siku wachumba tunawang'oa sawia.........
 
hakujua alichokua anafanya na hatima yake hakuijua,

wasichana wengi wazuri wabichi wanaliwa na vihuni vya kuweka vileso mifuko ya nyuma na wanaona wamefika wakifuatwa na watu wanaowapenda kwa dhati na wastaarabu wanaona ni kupotezeana muda mpaka watakapoingia mkenge.

Achana nae ameshaadhibiwa tayari
 
Blue G wewe ni nomeri asee! Kudos nyingi!:wave:

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…