Safi ama kweli wewe sii UNICEFNi dada ambaye tulikuwa tunasoma kidato kimoja shule moja mkoan Mbeya. Nilimpenda sana huyu dada ikabidi nmwelezee ukweli wa moyo wangu lakin yeye alinifanya mdori wa kuchezea. Kila nikimwita pemben na kumpiga sound alikuwa anasema tuongee usku kwenye sim . Sikujua kumbe ananiweka roudspika akiwa bwenini na wananisikiliza wenzake wote ninavyojikanyaga kidume. Nilikuja kushtuka mda wa kula tukiwadyning nikakuta wananicheka na kuniangalia mm aisee sku hyo sikula chakula kila napopita mabint wananicheka ni bint mmoja ndiye alikuja kuniambia kuwa kwann wananicheka. Iliniuma sana nilijuta kumtongoza yule dada. Ilikuwa mwezi jana tareh 20 nilikutana na yule dada tukiwa kwenye gari mm nilikuwa naenda Arusha nilimkuta ana mtoto tayar alinichangamkia sana nami nikamchangamkia akaniomba namba ya sim nam nikampa. Akaanza kuniulizia kuwa nimeshaoa? Mm nikakataa tangu sku hiyo anataka tuishi pamoja. Alinikataa kipindi bado mbichi sasa hivi kazalishwa ananitaka ananifanya mm UNICEF. Sasa ameumia lazma nimtoe machoz na nimuabishe. Jana nmeshatuma posa kwao nataka nmjaze mimba na mm na nimfukuze na kumnyanyasa kama mbwa ili ajutie kunikurupukia wakat alinidhalilisha..
Ni dada ambaye tulikuwa tunasoma kidato kimoja shule moja mkoan Mbeya. Nilimpenda sana huyu dada ikabidi nmwelezee ukweli wa moyo wangu lakin yeye alinifanya mdori wa kuchezea. Kila nikimwita pemben na kumpiga sound alikuwa anasema tuongee usku kwenye sim . Sikujua kumbe ananiweka roudspika akiwa bwenini na wananisikiliza wenzake wote ninavyojikanyaga kidume. Nilikuja kushtuka mda wa kula tukiwadyning nikakuta wananicheka na kuniangalia mm aisee sku hyo sikula chakula kila napopita mabint wananicheka ni bint mmoja ndiye alikuja kuniambia kuwa kwann wananicheka. Iliniuma sana nilijuta kumtongoza yule dada. Ilikuwa mwezi jana tareh 20 nilikutana na yule dada tukiwa kwenye gari mm nilikuwa naenda Arusha nilimkuta ana mtoto tayar alinichangamkia sana nami nikamchangamkia akaniomba namba ya sim nam nikampa. Akaanza kuniulizia kuwa nimeshaoa? Mm nikakataa tangu sku hiyo anataka tuishi pamoja. Alinikataa kipindi bado mbichi sasa hivi kazalishwa ananitaka ananifanya mm UNICEF. Sasa ameumia lazma nimtoe machoz na nimuabishe. Jana nmeshatuma posa kwao nataka nmjaze mimba na mm na nimfukuze na kumnyanyasa kama mbwa ili ajutie kunikurupukia wakat alinidhalilisha..
labda amejutia makosa yake.! Na ameona wewe ndio mwanaume unaefaa katika maisha yake ya ndoa. kuzaa mtoto 1 sio kukongoroka wapo wanawake walio zaa watoto wawili lakin wapo bomba matunzo tu. unachotakiwa ni kumpima kama anakupenda au wewe unampenda. mengineyo ni wewe sasa utajua uko.....! acha mambo ya kienyeji bana!!!!!
sio ukatili ila namshikisha adabu. Na siku ya kumpiga chini ntakuja kumwambia kuwa nakufanyia haya kwasababu ya yale uliyonifanyia kipindi hicho
mkuu spendi matusi na sio kwamba siwez kutukana na hujaombwa ukoment hicho ni kihereher chako na ndicho kilimponza mama yako mpaka sasa kumbuka. Ng'ombe ww
Brother kua na subiira insu kama hizo huwa ni changamoto za kawaida ukiwaelewa vizuri watoto wakike hawawezi kukuvunja kichwa kwa insu kama hiyo mungu mwenyewe amesema nimewaumba binadam kua viumbe dhaifu ila wanawake kawaumba kua dhaifu zaidi mara nyingi huwa wanafanya mambo bila kufikilia mbele usimfanyie ivo binadam mwenzio fikiria angekua Dada yako anataka kufanyiwa hivo ungejisikiaje?
poa tu. Ila lazma alie na ajutie kwasababu atakuwa na watoto wawili nyumban