Nilidhalilishwa sana lazma nimuumize

wewe kwenye jamii hufai kitu kdgo hivyoo unashindwa kusamee mpka ulipitize kisasi mwache binti watu.

sio kwamba siwez kusamehe ila kinacho nikera kwanini ajilete wakat amezalishwa? Inamaana mm ndio wa kuhudumia watoto wa watu? Au mm ndio nastahili kuishi na mwanamke used? Alinikataa kipindi bado mbichi sasa hv amegalagazwa huko mpaka wamemtelekeza halafu ndio anakuja kwangu kwan mm ni jalala?
 
Unataka kutumia nguvu kubwa mno isiyolingana na kosa lenyewe! Kumbuka kuwa kwa nia yako hiyo, huyo atakuwa ni MAMA MTOTO wako!! Tafakari!!!
 
Anataka kukufanya tairi la spea, amka wewe

kama lengo lake ni hilo sasa ameumia.. Nilikuwa nawaangalia wazee wake wanavyojitutumua kunipimia mahali wangejua kuwa ni mchezo wala wasingeipokea barua hahaaa
 
Unataka kutumia nguvu kubwa mno isiyolingana na kosa lenyewe! Kumbuka kuwa kwa nia yako hiyo, huyo atakuwa ni MAMA MTOTO wako!! Tafakari!!!

poa tu. Ila lazma alie na ajutie kwasababu atakuwa na watoto wawili nyumban
 
haahahha YAANI AKILI ZAKO ZA KIITOTO HAHAAHAHAHAHAHHAHAHAHAH KAMA NAKUONA VILE
looooh unachekesha maana huyo duu ana ku hunt maisha yako sana hahhahahah andbthe more utakapoa mfatilia the more atakuumiza
 
hyo ni kwaajili ya kumtoa wasi wasi na adhalilishwe vizr.
Kaka niamini nakwambia, utadhalilika wewe mwenyewe. Mpaka upeleke posa utakuwa umeshajidhalilisha tu. Achana na mpango huo. Unataka kumzalisha halafu umbwage, maana yake utakwenda pekupeku?
 
Kitendo cha kumkubali japo ni usanii, bado umekubali vitu used
 
poa tu. Ila lazma alie na ajutie kwasababu atakuwa na watoto wawili nyumban

Utajuta wewe coz finally itakuwa jukumu lako kulea mtoto wako. Na ukileta za kuleta utatinga mahakamani, chezea wanawake wa siku hizi! Lakini waweza kuendelea na lengo lako kwa ile kanuni ya "potelea kwa mbali"!!
 
..jamaaa umeanza vizur ila hapo mwishoni umeharibu sasa...kumpa mimba afu umfukuze kuwa ndo utakuwa umemuumiza???me naamini hapo utakuwa umejiumiza wewe kwa 7bu atakuwa na damu yako) pili ni laana unajitafutia.....fikiria upya
 
Usisahau siku hizi sheria nyingi zinamfava mwanamke. Uwe tayari pia kunyofolewa kamshahara kako kutunza mwanao pamoja na mama yake

yote hayo nayajua ndio maana nmejipanga kwa hilo ila mtu lazma alie tu nyamaaf
 
haahahha YAANI AKILI ZAKO ZA KIITOTO HAHAAHAHAHAHAHHAHAHAHAH KAMA NAKUONA VILE
looooh unachekesha maana huyo duu ana ku hunt maisha yako sana hahhahahah andbthe more utakapoa mfatilia the more atakuumiza

wewe ndio kaa kimya kabisa najua ndio wale wale ambao umri unatoa alarm nyekundu wakat hujaolewa. Au ulishampata mchumba hahahaaaaa
 
..jamaaa umeanza vizur ila hapo mwishoni umeharibu sasa...kumpa mimba afu umfukuze kuwa ndo utakuwa umemuumiza???me naamini hapo utakuwa umejiumiza wewe kwa 7bu atakuwa na damu yako) pili ni laana unajitafutia.....fikiria upya

hakuna cha laana wala kujidhalilisha. Sasa kama hayo yapo acha mm nione subirin kujifunza kwangu
 
Sasa ndugu huoni kuwa maamuzi unayotaka kufanya (kuzaa naye) ni utakuwa unazidi kumleta karibuyako? Maana hiyo bond ya mtoto ni ya milele (hata kama mtoto akifa -heavens forbid).
 
Ukizaa nae unakosea zaidi. Muumize tu kisha umuache. Wanawake wengine bwana,mi kuna mwingine alishawahi kuniita kibaka,tena mbele ya watu wangu wa karibu,,yan hata sijui namfanyaje.
 
Mie nashangaa sana mwanaume anayemtia mwanamke mimba kwa kumkomoa haoni hata uchungu kuona damu yake inapotea...hapa huwa pananifanya niwakubali sana wachaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…