Nisharudisha bana! Ye bado anataka mapenzi aisee.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
acha uchoyo. hata dushe unabania haaah! kwani linaisha hilo? mpe hata kidoncho!!Nisharudisha bana! Ye bado anataka mapenzi aisee.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mbona hilo jambo ndiyo umelifanya heading kabisa?!! unahitaji ushauri kuhusu kurudisha zawadi ama?
acha uchoyo. hata dushe unabania haaah! kwani linaisha hilo? mpe hata kidoncho!!
ingekuwa bora zaidi na busara sana kama mkeo angefahamu hili linalokutokea....Hii imekaaje?
Kuna mdada wa kaskazini alinizimia sana na akataka nimuoe. Sasa mie nikamwambia sina mahaba nae, ye akakazana. Akawa ananiletea zawadi nyingi tu! Nilijitahidi kukataa akawa anang'ang'ania nichuke. Sasa siku moja nikamtolea uvivu nikamwambia simtaki kabisaaa! Hapo akadai nimrudishie kila kitu. Nilirudisha ila baada ya muda karudi tena na tena. Japo nina mke ila kanikomalia kweli. Najitahidi kumkwepa ila keshaapa mpaka anipate.
Wewe unanishauri nifanyeje!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
acha uchoyo. hata dushe unabania haaah! kwani linaisha hilo? mpe hata kidoncho!!
Ushauri wa vyote tu best! Ye mbona ckumdai ila yeye anadai? Au alikuwa anawekeza kaona mgodi haulipi? Mbona anarudi tena mgodini?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums