Nilichokishuhudia Romania Dec/1989


Mwongo huyo mleta mada, anakaa Kariakoo Shimoni kazi yake ni mbeba magunia
Hana hata chumba cha kupanga
Maharo matupu anayo leta humu ndani, eti yuko ulaya, hana lolote mwongo mkubwa
 
Mkuu nyakati nyingine punguzeni,mihemko hasira na chuki zisizo na maana yoyote, kuwa jukwaa la siasa nimemsema nani kwenye siasa hadi uwe mkali?
 
Hilo nalijua sana mkuu na alikuwa rafiki mkubwa sana wa Mwalimu Nyerere,sasa namshangaa huyu anavyokuja kwa nguvu kuni attack, eti mimi ni mmoja wa hater wa current regime, sasa ananilazimisha kuipenda hii regime?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Muhimu ushindi wa Hoja..!
 
Mkuu hujakosea miaka kweli? Maana unadai 1987 ulikua darasa la 1 halaf ukapelekwa kusoma Australia na mwaka 1989 ukawa umehitimu/maliza na kua tayari kurudi nyumbani. Ina maana ukipelekwa kusoma mwaka1 au 2 ya primary tu ! Ngumu kumeza etii!
Sikufika hata darasa la tatu nikawa nimerudishwa nyumbani mkuu,nisome tena vyema
 
wewe ni kenge kabisa!
 
Ceaușescu and his wife, Elena, fled the capital in a helicopter, but were captured by the armed forces after the armed forces changed sides. On 25 December, after being tried and convicted of economic sabotage and genocide,[6] they were immediately executed by firing squad

Dah Wajeshi baada ya kuua sana raia wakaamua kugeuza kibao na kwenda kumdungua aliewatuma
 
Mkuu hilo timbwili nilishuhudia kwa macho yangu siku hiyo Bucharest kulikuwa na harafu ya damu,risasi na mabomu,yaani it was completely hell,hata hivyo tulinusurika kimiujiza tu
 
Mkuu nyakati nyingine punguzeni,mihemko hasira na chuki zisizo na maana yoyote, kuwa jukwaa la siasa nimemsema nani kwenye siasa hadi uwe mkali?
comment yangu haina ukali wowote bali kejeli kwa maana nina uhakika 100% lengo lako nimelijua.
Sio rahiri mimi kukasirika hapa jf na nikikasirika natumia lugha chafu,itazame comment yangu hakuna tusi hata moja bali kejeli tu.
 
Yes I hate Magufuli, unanilazimisha nimpende? Mpende na familia yako, eti mimi ni hater,mpumbavu kweli wewe.
Bado hata ukimchukia haikuondolei UPUMBAVU kichwani, narudia mara nyingine tena wewe ni MPUMBAVU. Next time anzisha thread za siasa jukwaa la siasa, kama story yako ni ya jukwaa hili ndo maana unaitwa MPUMBAVU.Mpaka sasa huelewi kwanini nakuita hivyo sababu ni MPUMBAVU kweli. Mkiwa mnaleta thread za kichoko choko humu mtakuwa mnaishia kuambiwa ukweli msiopenda kuusikia.PUMBAVU zako.
 
Rejea nilivyokuita MPUMBAVU,.. bado nakuita MPUMBAVU,, haya maelezo yako yanauhusiano gani na STORY yako hapo juu???, nimekuita MPUMBAVU sababu unatumia njia ndefu na ya kijinga kama msichana malaya kufikisha ujumbe, kwanini usingeanzisha thread ukielezea hayo hapo juu mapaka ulete story yako ya kijiweni humu jukwaa la siasa?, unavyozidi kujielezea ndo unazidi kuonyesha UPUMBAVU wako.Sio huyo Ben Saa8 tu, hata wewe labda uendelee na hilo jina fake,ukijichanganya siku tukajua jina lako tunakula kichwa tu, mpaka muwe na nidhamu.Mmmezoea kudekezwa huko nyuma, zamu hii mpaka mtie adabu mjifunze kufanya kazi sio kukalia porojo za kisiasa. Ukileta huu UPUMBAVU wako mtaani katika maisha ya kawaida ya kiuhalisia mtaani utawaadithia wazazi wako walioshindwa kukufundisha adabu kutii mamlaka. Endeleza UPUMBAVU wako humu humu JAMII FORUMS.
 
Hahahahah...jiue mbwa koko wa Magufuli, ndo maana kila mtu humu anakutukana ulivyo jinga umo tu,nenda huko kalishe mbwa wenzako.
 
Nimeajiri watu zaidi ya 10 ,nashinda kwenye keyboard nakunywa kahawa, 300,000 inaingia per day ,nasaidia wagonjwa,nasaidia yatima,nasaidia wajane,nawanunulia chakula watoto wa mitaani,napeleka sabuni magerezani,naiandaa kesho Yangu,siyo wewe nguruwe pori unayeshinda humu kumtetea mtu asiye na uwezo kuongoza kisha unasibiria kimshahara mbuzi kweli wewe.
 
Halafu wewe mbwa koko umewahi hata kufika uzunguni kweli?
Yaani unaona ajabu sana miye kwenda Australia na Romania mbona ni kawaida sana ?
Na wewe kama ni mwanaume weka ID yako tukushughulikie mapema sana,jinga kweli wewe,ndo maana huna akili,eti naleta stori ya kijiweni,kama ni stori ya kijiweni kwanini roho inakuuma hayawani wewe?
Safari hii mtajibeba,malaya wa ccm nyie,na tulichokipanga 2020 hamtachomoka,salama yenu anzeni kukimbia sasa hivi.
Mlivyo washamba,mnaingizwa mkenge na nyie mnaingia wazima wazima,sasa ngojeni mtakiona cha moto, na Leo najua hulali paka shume wewe, jiue upate amani ya moyo,au mpige risasi mkeo hasira zako zipungue shetani wewe
 
Dikteta wa Romania kilichomuondoa akageukwa na aliowategemea itakuwa ni sababu ya 25% ya mafao ya wastaafu aliyoianzisha mwaka 1987 pia iligusa maslai ya wanajeshi wake,wakawa nae kimwili si kiroho walisubiri wananchi wa Romania walianzishe wakawasapoti,km ilivotokea Zimbabwe. Dikteta caescue alilewa ndumba zikampumbaza akili akatokwa na ufahamu Kwa kupata matumaini hewa akapuuza matumizi sahihi ya akili yaani akili yake aliwakabidhi kamati ya ufundi wa mji wa Bucharest Romania baada ya kuwatumia wasomi wake.
 
Wajanja tumekuelewa ila wale "Dull Minded" kama ilivyo siku zote, ndio wanapata shida. Nimeelewa "Gist" yako kuwa mwisho wa madikteta huwa ni mbaya sana kama ilivyotokea kwa huyo Nicolae Ceucescu na mkewe Helena. Well said.
Aliuwawa kikatili sana yeye na mkewe check YouTube dokumentari yake aliokuwa akiwatuma kuuwa watu ndio waliomuuwa.
 
Huko Romania nqskia ni noma kwa ulozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…