Wakati ule madaktari wanagoma tuliona kama wanaendekeza pesa tu kuliko utu.kwa sasa wameamua kukaa kimya, wanafanya wanaloweza, kukiwa hakuna vifaa, wala hawahangaiki, wanasubiri muda wa kazi uishe waende nyumbani, mkilala chini hawajali watakupa dawa zako hapo hapo chini,kama hazipo utaenda kuzitafuta nje.Viongozi wakipita hospitali zinaandikwa risala nzuri za kuipongeza serikali ya CCM kwa kuboresha huduma za hospitali, wanapigiwa makofi, chapter closed.nobody cares nowadays.hii pia ni aina ya mgomo