Nilichokiona jana usiku

Safi kijana umefanya jambo sahihi mzee angefaliki tu
 
Duh, amakweli dunia haina huruma, me naona tamaa ndo inatesa kizazi cha siku izi maana hayo mambo hatukuwa nayo, asa ukijalibu kuangalia huyo mke amekosa nn kwa mume wake mpk anaamua kufanya mambo ya kishetani kama hayo, wakati mwingine tumwogope mungu jaman, hata ujifiche vip mungu anakuona to
 
Yaani lile tukio la jana limenifikirisha sana
 
Mtoto wa mwezi mmoja, halafu ***** anabanduliwa na vizee😅😅 afya ya huyo mtoto Mungu tu ndo anajua
Atakuwa fundi viatu, ndo mana watoto wa siku hizi akili kama........zao
 
Wanachosha mnoo.. Mi nimewaletea tukio lilitokea jana ili wote tujifunze kitu lakini wanabisha
Tatizo watu wameshakariri kila kitu chai, chai, m nimeshawaambia wawe makini watakunywa na mikojo siku moja.
BTW huyo andunje ungelijua ungemwacha wananchi wa hasira kali wakamshughulikia maana kuna wengine wanatumia pesa zao kama fimbo za kuumiza wanyonge.
 
Kosa la kutembea na mwanamke kabla ya ndoa halafu isitoshe kazaa ndio anafunga ndoa
Huyo mtoto utajuaje ni huyo kijana au mzee
Kama una rafiki wa miaka mingi halafu ndio unaamua kumuoa ujue baraka zote za ndoa yako umezitafuna.
Na ujue hauko nae peke yako wala asikudanganye
 
Hii kawaida tu kuna jamaa alimfuatilia mdada mmoja akamtolea nje akaja kumkubalia akiwa na ck tatu tangu ajifungue jamaa akamla siku ya NNE akiwa amejifungua hawa viumbe acha tu
Wanachosha mnoo.. Mi nimewaletea tukio lilitokea jana ili wote tujifunze kitu lakini wanabisha
 
Hii kawaida tu kuna jamaa alimfuatilia mdada mmoja akamtolea nje akaja kumkubalia akiwa na ck tatu tangu ajifungue jamaa akamla siku ya NNE akiwa amejifungua hawa viumbe acha tu
Duuu hii kali aisee
 
Umeongea logic sana
 
Shida alikuta ni mfanyakazi mwenzie ndo tabu ilianzia hapo
 
Daaah yaani wanawake sijui wana shida gani jamani yaani mtoto wa mwez mmoja kweli mtu unachepuka unajua kuna vitu vinatia hasira sana kwakwel

Yaani bora kuto kuoa tu....
Muulize kwa nn unachepuka
 
Hiyo stori kama kweli basi mwanamke huyo hafai kabisa na ni malaya asiyekuwa na huruma
 
Tupe mrejesho nini kiliendelea baada ya fumanizi,
Ila kwa mtindo huu kuna kuoa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…