Nilichokiona huko mbeleni kinanishangaza sana

Nilichokiona huko mbeleni kinanishangaza sana

Smartkahn

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
889
Reaction score
1,490
Sijui wapi na itakua lini?, sijui ni kina nani wale na mahali gani? pale masikini sijui kiliwasibu nini? hadi wakawa katika hali Ile!?

Nimewaona vijana wengi wakiwa wanajitoa muhanga kwa kujifukia na mchanga/kujizika wazima wazima baada ya kujichimbia mashomo(makaburi wenyewe) na wengine kabla ya kujifukia watajichoma moto/watajilipua na moto ndipo anaendelea na kujifukia...

Sasa binafsi nilishaachaga habari za kupuuzia njozi... Nimetafakari na kuona ya kwamba huenda uko mbeleni vijana wataenda mbali zaidi na kutumia mbinu za kigaidi (KUJITOA MUHANGA) katika kupigania kile wanachokiamini.

Ni mtizamo tu lakini wizara/vitengo husika viwe makini.
 
Hiyo ndoto inafanania na niliyoota usiku wa kuamkia leo, kwamba maza atatoka ila kwa mbinde damu itamwagika sana
ndoto ni matokeo ya unachokiwaza muda mwingi .

ninachokiona mimi ni kwamba maza hawezi achia nchi
na hata iyo tarehe 9 december tukitoka kuandamana na tukafanikiwa kweli na yeye kuamua kukimbia nchi nachokiona mimi bado huyu mkunda ataendelea kumlinda kwa kutangaza hali ya hatari na nchi kuwa lock down hakuna yoyote kutoka hali hii inaweza dumu kwa kipindi cha wiki 3 au 4.

hapo usijidanganye kwamba jeshi litakuwa limechukua nchi wala ila litakuwa linatuliza hali ya hewa na baadae mama yenu SAMUYA atarejea nchini na kuendelea kuongoza kam rais.

kwa hakika wananchi wote watanganyika tutaishiwa pawa.

nasikitika sana mama yenu SAMUYA kuendelea kuwa rais kwa miaka mitano ijayo daaaah nasikitika sana.
 
Ukuta wa Yeriko uliangushwa na sauti ya Tarumbeta....tutatoka na mavuvuzela. Askari ukianzisha vurugu tuta-deal na familia yako
 
Sijui wapi na itakua lini?, sijui ni kina nani wale na mahali gani? pale masikini sijui kiliwasibu nini? hadi wakawa katika hali Ile!?

Nimewaona vijana wengi wakiwa wanajitoa muhanga kwa kujifukia na mchanga/kujizika wazima wazima baada ya kujichimbia mashomo(makaburi wenyewe) na wengine kabla ya kujifukia watajichoma moto/watajilipua na moto ndipo anaendelea na kujifukia...

Sasa binafsi nilishaachaga habari za kupuuzia njozi... Nimetafakari na kuona ya kwamba huenda uko mbeleni vijana wataenda mbali zaidi na kutumia mbinu za kigaidi (KUJITOA MUHANGA) katika kupigania kile wanachokiamini.

Ni mtizamo tu lakini wizara/vitengo husika viwe makini.
MKUU,BINAFSI HUWA NAFATILIA HIZI NDOTO ZAKO SANA.
ILE YA POLEPOLE ILITIMIA NDANI YA WIKI 3.

HATA HII NATAMANI KUJUA MWISHO WAKE.
 
Kuna uwezekano Amani inaenda kutoweka moja kwa moja.

Nchi/serikali kugawanyika yakazaliwa makundi hasimu ndani ya nchi...

1. Kuepusha hili nini kifanyike?

2. Kuna dalili za vitishio vya wazi vya usalama (ugaidi) vyombo husika mmejipangaje?
Nimetafakari na kuona ya kwamba huenda uko mbeleni vijana wataenda mbali zaidi na kutumia mbinu za kigaidi (KUJITOA MUHANGA) katika kupigania kile wanachokiamini.

Ni mtizamo tu lakini wizara/vitengo husika viwe makini.
 
Ukisikia mtu kajiua kwa namna yoyote ile eidha kujidhuru yeye binafsi au kuwadhuru na wengine kupitia kujitoa muhanga usishangae.
 
Back
Top Bottom