fiesta haiji kwa sisi wagumu mwaka kama wa nne huuHahahaa! Watu wa mikoani bhana... utasikia, "Oh, hiyo Singeli itabamba huko huko kwa Wanaume wa Dar... muziki gani huu!" Hadi sasa ishadhihirika Wasukuma mnashikwa mmoja baada ya mwingine... tunasubiri feedback kutoka kwa "wagumu" wa A-City sasa!!
Tamasha la fiesta haliwez kufanyika arusha asee uku ni wagumu kweli kweli (in magufuli's voice )Hahahaa! Watu wa mikoani bhana... utasikia, "Oh, hiyo Singeli itabamba huko huko kwa Wanaume wa Dar... muziki gani huu!" Hadi sasa ishadhihirika Wasukuma mnashikwa mmoja baada ya mwingine... tunasubiri feedback kutoka kwa "wagumu" wa A-City sasa!!
Msami sina shaka nae.. Yule jamaa kwenye sifa hizo anazo, japo sina uhakika km alifanya hvyo kweli.. Ila ni rahisi kuamin.mwenye video ya msami aweke hapa tuone hizo sifa
Kuandika ngoma nzur ni jambo jingine na kuperform vizur jukwaani ni jambo jingine..Nasikitika kama Jux hajaperform vizuri maana ngoma ya WIVU ni Rnb ya mwaka hapa bongo , na itachukua muda sana wasanii kuifunika hii rnb
Are you serious? Fiesta ya mwisho kulizuka mtiti; au?!fiesta haiji kwa sisi wagumu mwaka kama wa nne huu
Hamna cha ugumu wowote nyinyi sema mnapenda kuigiza ugumu!!Tamasha la fiesta haliwez kufanyika arusha asee uku ni wagumu kweli kweli (in magufuli's voice )
Umeona eeeenh juzikati nmeenda huko nmekuta wanasakata tu singeli ingawa cheza yao ni tofauti kwa kua hawaujuiHamna cha ugumu wowote nyinyi sema mnapenda kuigiza ugumu!!
JUX hajawahi kukosea, jamaa anajua saana, NANDY naye ni motoNasikitika kama Jux hajaperform vizuri maana ngoma ya WIVU ni Rnb ya mwaka hapa bongo , na itachukua muda sana wasanii kuifunika hii rnb
fiesta ya mwisho nahic ilikuwa 2011 tena ilifanyika sa nne asubuh ila iliisha sa nne watu walibakwa wengne kuibiwa ilifanyika shekh abeid stadium kuanzia hapo ruge na wenzake waliapa kutoileta huwa inaturuka inaenda moshi..kuhusu ugumu na ubabe hatuigiz ni jadi ndo mana matamasha yetu ni jcb...chindo..waturutumbi..fidoooo...na wagumu kama hao mana tunawezana kuanzia mwanzo wa shooo mpaka mwisho kijiti kinawashwaAre you serious? Fiesta ya mwisho kulizuka mtiti; au?!
Hivi TRA wanakusanya kweli kodi kwa kila kiingilio?Fiesta ni moja ya chanzo cha maambukizi ya ukimwi
Nyie bhana nilipowaona hamna lolote ilikuwa 2012! Baada ya mfululizo wa ubabe wa serikali ya CCM Arusha, mkapiga bonge la mkwara kwamba JK hana ubavu wa kunusa A-Town, na akikanyaga tu, lazima mumpopoe mawe!! Mi nikaona YES, ngoja tuone machali wa A-Town! Hee!! Siku ya siku JK anatimba Arusha... e bhana eh! Si nyomi hilo!fiesta ya mwisho nahic ilikuwa 2011 tena ilifanyika sa nne asubuh ila iliisha sa nne watu walibakwa wengne kuibiwa ilifanyika shekh abeid stadium kuanzia hapo ruge na wenzake waliapa kutoileta huwa inaturuka inaenda moshi..kuhusu ugumu na ubabe hatuigiz ni jadi ndo mana matamasha yetu ni jcb...chindo..waturutumbi..fidoooo...na wagumu kama hao mana tunawezana kuanzia mwanzo wa shooo mpaka mwisho kijiti kinawashwa
kuhusu siasa kiukweli hakuna wakumzuia kiongoz yyte wa nchi kufika arusha na pia arusha wanaccm wapo kwahyo kujaaa kwa watu isikufanye utuondolee uhalisia wetu pia jua kuwa ccm na serikal huwa natabia yakusomba watu.Nyie bhana nilipowaona hamna lolote ilikuwa 2012! Baada ya mfululizo wa ubabe wa serikali ya CCM Arusha, mkapiga bonge la mkwara kwamba JK hana ubavu wa kunusa A-Town, na akikanyaga tu, lazima mumpopoe mawe!! Mi nikaona YES, ngoja tuone machali wa A-Town! Hee!! Siku ya siku JK anatimba Arusha... e bhana eh! Si nyomi hilo!
View attachment 389111
View attachment 389112
Tangu hiyo siku, nimeacha kabisa kuwaamini machalii wa Arusha...!! Tena Mkuu Shark anadai Singeli inabamba kishenzi pande hizo...!! Sema kwenye mmea, mpo vizuri na kama ugumu wenyewe ni kwenye kula mmea, basi sawa ingawaje huku kitaani kwetu nako, mnh... utafikiri nchi haina sirikali!!
Acha uzushi wewe !inajulikana country wide kama sio world wide kuwa watu wa Arusha hata ngoma ya kwa maana ya midundo ya jadi hawana !wao ni kupiga makelele kama wako msibani na kurukaruka mdio ngoma zao !watavutiwaje na mitrindimo ya fiesta ?fiesta ya mwisho nahic ilikuwa 2011 tena ilifanyika sa nne asubuh ila iliisha sa nne watu walibakwa wengne kuibiwa ilifanyika shekh abeid stadium kuanzia hapo ruge na wenzake waliapa kutoileta huwa inaturuka inaenda moshi..kuhusu ugumu na ubabe hatuigiz ni jadi ndo mana matamasha yetu ni jcb...chindo..waturutumbi..fidoooo...na wagumu kama hao mana tunawezana kuanzia mwanzo wa shooo mpaka mwisho kijiti kinawashwa