Nilichojifunza uongozi wa Kikwete

Nilichojifunza uongozi wa Kikwete

Gitaa

Member
Joined
Nov 10, 2014
Posts
18
Reaction score
14
1.Mtu mwenye marafiki wengi hafai kuwa kiongozi mkuu wa nchi,maana atashndwa kufanya maamuzi makubwa kwa maslahi ya rafk zake.

2.Kiongozi anayeingia madarakani kwa shangwe za watu wengi hawezi kueendana na mahitaji makubwa ya wapiga kura wake maana atakuwa busy kuweka sawa mambo ya rafiki zake ama hata kama sivyo basi hawezi kutimiza mahtaj makubwa ya wananch wake maana yeye maye ni binadamu wa kawaida.

3.Afya ya kiongozi mkuu wa nchi anayesongwa na mawazo ya kutafuta upande wa kuegemea kat ya marafiki,waliomuweka madarakan au wananchi hudhoofu haraka.Hii inaendana na kuingiwa na uzee kwa kasi.

4.Ukiwapa sana uhuru wanao mwisho watakutoga na vidole machoni, kama vile alivyofanya kwa wandishi wa habari na wananchi kwa ujumla, sasa anatafuta jinsi ya kudhibiti while its too late watu wameshajielewa.

5.Wanasiasa wote ni wanafiki
 
5.Wanasiasa wote ni wanafiki
5.wanasiasa wengi ni wanafiki sio wote
 
hebu tuongee ya msingi, huyu tusipoteze muda kumjadili
 
Ujumbe huu unaenda moja kww moja kwa Lowasa
 
Ndio maisha bora kwa kila mtanzania,kwa kasi zaidi,nguvu zaidi na hari zaidi
 
NYERERE ALISHASEMA TUMCHAGUE MTU ANAYEKUBALIKA ZAIDI NA WANANCHI,Hata uongee nini,sisi Watanzania na akili zetu timamu TUTAMCHAGUA LOWASA NA WAGOMBEA WA UKAWA.TUmechoka na WEZI wa CCM kwa miaka yote zaidi ya 50.
 
Sitasikiliza mashauri ya mpunbavu awaye yeyote bali Mimi na nyumba yangu nitampigia kura Lowassa!!
 
Watanzania na Akili zetu timamu hatuwezi kumpigia kura mgombea yeyote wa CCM, ni WEZI WA MALI YA UMMA KWA MIAKA ZAIDI YA 50.kwakweli kura zetu ni kwa LOWASA NA WAGOMBEA WA UKAWA.
 
Kutokana na maelezo hayo huyu mzee angeshauriwa apumzike.:dizzy:
 
Watanzania na Akili zetu timamu hatuwezi kumpigia kura mgombea yeyote wa CCM, ni WEZI WA MALI YA UMMA KWA MIAKA ZAIDI YA 50.kwakweli kura zetu ni kwa LOWASA NA WAGOMBEA WA UKAWA.

Ujuhi ulitendalo ndani ya nchi yako
 
Back
Top Bottom