sawa mkuu umeelewekaKatika jamii za wawindaji mara nyingi kuishi kwao(kupata mlo wa kila siku)kunategemea na kiasi gani wanachovuna mawindoni hivyo inawalazimu kutumia nguvu ,akili na maarifa ya ziada kuhakisha wanapata chochote kitacho wafaa kutosheleza kusongesha maisha yao.
Pamoja na kuweka juhudi kubwa Ktk kupata chochote kitu msituni ,lakini kuna hatari kubwa ya kushambuliwa na wadudu pamoja na wanyama wakali wa porini na hapo ndipo wanaweza umakini zaidi kwani akijisahau kidogo shambulio Moja tu linaweza kuhatarisha usalama wake na jitihada zake zote kupotea pamoja na malengo kwa ujumla .
Mafunzo: Katika mawindo yetu ya kola siku (harakati za kimaisha) tusiegemee zaidi Ktk utafutaji bila kujua na kuchukua tahadhari dhidi ya vitu hatarishi kwani kosa Moja linaweza kuharibu jitihada na Mafanikio yaliyotengenezwa kwa nguvu kubwa na kusababisha hasara na majuto .
Epuka marafiki wabaya ,kukosea kuoa au kuolewa(kutochagua mwenza sahihi) ,starehe hatarishi nk
View attachment 2062967
Tulia wewee Mufti kuku The Infinity.2023 naiwinda Maghayo na genge lake hatari..
Ujumbe mwanana kabisa Kwa disemba hiiKatika jamii za wawindaji mara nyingi kuishi kwao(kupata mlo wa kila siku)kunategemea na kiasi gani wanachovuna mawindoni hivyo inawalazimu kutumia nguvu ,akili na maarifa ya ziada kuhakisha wanapata chochote kitacho wafaa kutosheleza kusongesha maisha yao.
Pamoja na kuweka juhudi kubwa Ktk kupata chochote kitu msituni ,lakini kuna hatari kubwa ya kushambuliwa na wadudu pamoja na wanyama wakali wa porini na hapo ndipo wanaweza umakini zaidi kwani akijisahau kidogo shambulio Moja tu linaweza kuhatarisha usalama wake na jitihada zake zote kupotea pamoja na malengo kwa ujumla .
Mafunzo: Katika mawindo yetu ya kola siku (harakati za kimaisha) tusiegemee zaidi Ktk utafutaji bila kujua na kuchukua tahadhari dhidi ya vitu hatarishi kwani kosa Moja linaweza kuharibu jitihada na Mafanikio yaliyotengenezwa kwa nguvu kubwa na kusababisha hasara na majuto .
Epuka marafiki wabaya ,kukosea kuoa au kuolewa(kutochagua mwenza sahihi) ,starehe hatarishi nk
View attachment 2062967
Duh ! Mimi nijiite Kuku kweli ?Tulia wewee Mufti kuku The Infinity.
Duh ! Mimi nijiite Kuku kweli ?
2023 naiwinda Maghayo na genge lake hatari..
Hahaha oyaa tulia weweee. Ngoja mods waondoe vizingiti walivyo weka kwenye ID zangu zingine. Yani siwez reply ama kuposti chochote yani ni kulike tu na niwewe ndo umesababisha kwa kunichongeaJaribu kuacha bange kwanza ili tugundue tatizo kuu nin lipo kichwani kwako.
Sasa Kaa kwa kutulia Maghayo @Ghayo The Mongo Barbarian , the second wave of violence is coming..Hahaha oyaa tulia weweee. Ngoja mods waondoe vizingiti walivyo weka kwenye ID zangu zingine. Yani siwez reply ama kuposti chochote yani ni kulike tu na niwewe ndo umesababisha kwa kunichongea
Busu la Kenge nilikuonya the second wave imesepa na Maghayo sasa nakuja na na "The death wave " Kaa mkao wa kunyolewa nipo mawindoni sasa #VigilanceSasa Kaa kwa kutulia Maghayo @Ghayo The Mongo Barbarian , the second wave of violence is coming..