Nilichojifunza kuhusu mafanikio

Nilichojifunza kuhusu mafanikio

James88

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Posts
1,700
Reaction score
1,761
Kitu kikubwa sana ambacho naweza kusema kwamba nimejifunza kuhusu mafanikio ni kwamba, principles ambazo hupelekea watu kufanikiwa are the same, no matter what ni kitu gani mtu unakifanya katika maisha yako.

Hapa sizungumzii wale watu wanaofanya 9 to 5 jobs (mlioajiriwa), hapa nazungumzia wajasiriamali. Whether wewe ni mkulima, mwanamuziki, mfugaji, mfanyabiashara ama mtu yoyote ambaye amejiajiri katika sector yoyote binafsi.

Kuna vitu itakulazimu tu uvifuate wakati ukiwa unahustle na hata baada ya kufanikiwa. Mambo kama kupenda sana kulala, kushindwa kuplan mambo yako, Kuwa na marafiki usiojifunza chochote kutoka kwao.

Kushindwa kabisa kufuata mambo uliyojipangia, kuwa na matumizi mabaya ya pesa (kushindwa kuweka akiba) na mambo mengine mengi kama hayo ni baadhi tu ya vitu ambavyo ukiwa umejiajiri na ukaviendekeza basi kwako mafanikio huenda ikawa ni ndoto.
 
Hatupendi kusikia huu ukweli lakini wengi wetu tunafanya mambo yale yale kila mara na kutegemea matokeo tofauti, hata wale tuliopo kwenye ajira.

Unapata mshahara, unaufuja wote, hauweki akiba, unaingia madeni tena kwa vitu visivyo na umuhimu, unasema utabadilika hapo ni baada ya kutumia pesa zote. Mwezi unaofuata, unafanya yaleyale huku unapiga kelele unataka kujikwamua kiuchumi. Kila kitu kina kanuni na taratibu zake.

Kwangu, kitabu cha The Richest Man in Babylon kimenisaidia sana. Nawashauri wale ambao hawajakisoma wakipitie na kuyafanyia kazi yaliyoandikwa mle.
 
Insanity
 
Mkuu ume comment point nzuri sana,kama utaweza kutuwekea hicho kitabu hapa pdf itapendeza zaidi.
 
Back
Top Bottom