madia madia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2017
- 717
- 703
- Thread starter
-
- #41
Hapo sasa ndo mana nikasema weka grisi vyuma vilainike vyenyewe sio mpaka MTU aanze. Anza wew kwanza ni strategy nzuriNa kupata grease lazma utoe[emoji384][emoji384][emoji384][emoji389][emoji389][emoji389]
Pasu kwa pasuHapo sasa ndo mana nikasema weka grisi vyuma vilainike vyenyewe sio mpaka MTU aanze. Anza wew kwanza ni strategy nzuri
Mmmh!Pasu kwa pasu
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]a ha ha ha ha haaaa
[emoji30][emoji30][emoji30]Papuchi
Mana ake ni kwamba si kila mwanamke anafaa kuwa mke.. Wengine ni kwa mapambo na starehe ndo mana wengi wanaingia mkengeSijaelewa mantiki ya mada yako
Asante kwa ufafanuziMana ake ni kwamba si kila mwanamke anafaa kuwa mke.. Wengine ni kwa mapambo na starehe ndo mana wengi wanaingia mkenge
Una hoja nzuri ila umeiharibu kwa matusi lukukiAcheni ubaguzi wakise.....n....g..e.. Mwanamke ni mwanamke tu hata apitie kwenye hatua gani katika maisha bado atabaki kuwa na thamani mbele za Mungu na si mwanadamu.
Mwanamke hata ajiuze awe mwizi awe mbea lakini mwisho siku ataolewa na kuwa wife material mzuri tu.... [emoji16] [emoji51] [emoji119]
HahahahaWanaume mnataka kukimbia majukumu ya sikukuuu hamna lolote
Huyo bana sijui yupoje. Anahitaji ushauri maana hata Mimi sifurahii hayo matusi yake.Una hoja nzuri ila umeiharibu kwa matusi lukuki
Eti hufurahii ujue kuna watu wanakera kila siku wanalalama juu ya wanawake bila sababu ya msingi kana kwamba wao wako " perfect " [emoji23]Huyo bana sijui yupoje. Anahitaji ushauri maana hata Mimi sifurahii hayo matusi yake.
Basi sawa ndo utofauti huo na suluhisho sio kutukana. Hapa tunapeana elim maoni nk ili maisha yaende. Wanaume wanajaribu kueleza yanayowapata kwenye mahusiano maana hata baba yetu Adam aliponzwa na mke wake. Hivyo ni either wanawake wengi wabadilike au mapenzi yazidi kudorora. Wanawake hawataki kujishusha kwa waume kwa sababu mbali mbali maana na wao wanakoroma. Zizi lazima libane hapoEti hufurahii ujue kuna watu wanakera kila siku wanalalama juu ya wanawake bila sababu ya msingi kana kwamba wao wako " perfect " [emoji23]