madia madia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2017
- 717
- 703
Wanaume pia tumegawanyika, tunaofiti kuwachukua kundi la pili na wanaofiti kundi la kwanza.Katika dunia hii kuna aina mbili za wanawake.
1. Wanawake kwa ajili ya starehe au mapambo: Hawa ni wale ambao kwanza kuolewa huona tabu kama ni utumwa. Pili huwa na idadi ya watoto hasa mmoja na huweza kumtafuta MTU na akamzalisha basi. Hawa hupenda tu kustarehe au kula bata na kuonekana. Mengine ongezea....
2. Wanawake kwa ajili ya maisha na familia. Hawa huwaza zaidi kuolewa na kupata watoto na wako tayari kulea mume na watoto. Ni wanyenyekevu na ni wavumilivu kwenye swala zima la maisha hata kama wakifikia hatua ya kutokuelewana na waume zao. Mengine ongezea..
Je kuna kundi lingine? We una date mwanamke wa namna gani? Ana dalili za Kujenga maisha au ni kukupiga mizinga na kwenda kula bata?....
hahaha[emoji23][emoji28][emoji23] tunajihami mwaego!Wanaume mnataka kukimbia majukumu ya sikukuuu hamna lolote
Na mwanaume na mumeKuna tofauti kubwa sana kati ya mke na mwanamke.
Tunawakaba mpaka fainali mnaleta janja janjahahaha[emoji23][emoji28][emoji23] tunajihami mwaego!
Kila mtu apambane na hali yake. Wanawake pambaneni... HahaWanaume mnataka kukimbia majukumu ya sikukuuu hamna lolote
Hakuna kupambana timizen majukumu yenu acheni longolongKila mtu apambane na hali yake. Wanawake pambaneni... Haha
jitahidiniTunawakaba mpaka fainali mnaleta janja janja
Tutatumia kila mbinujitahidini
Tushawashtukia tayari dadeki...Tutatumia kila mbinu
Udhaifu wenu tunaujuaTushawashtukia tayari dadeki...
Tatizo lenu hamna strategies nzuri za kutukamua. Wakati mwingine mtangulie kutoa kwanza kulainisha vyuma...[emoji12]Udhaifu wenu tunaujua