kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,578
- 18,952
ni kweli, suluhisho la haya matatizo ni kuboresha miundombinu yetu....Hahahah!!!
Mkuu uwepo wa mafuriko si suluhisho la foleni barabarani, mwarubaini wa foleni ni kuongeza tu idadi ya barabara na kuboresha zilizopo...pia kupunguza utegemezi wa eneo moja kuwa ndio kitovu cha shughuli za kiofisi au kibiashara.