Nilichogundua kuhusu machangudoa

karv

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
1,799
3,221
Habari zenu mabibi na mabwana,

Katika pita pita zangu na ufuatiliaji nimenote baadhi ya vitu kutoka kwa madada poa.

1) Washirikina
Kama ambavyo mwenye duka anavyoenda kwa waganga ili apate mvuto wa wateja basi na wao pia huroga ili wapate mvuto kwa mwanaume. Kama unavyoenda mahala kununa kitu halafu kuna kitu kinakusukuma basi hata wao ni ivyo ivyo ndio maana unaweza kupanga kwenda bar kunywa ila akikukonyeza tu unalegea jua dawa inafanya kazi.

2) Asilimia 90 wanaumwa au walishawahi kuumwa magonjwa ya ngono
Hili lipo kabisa na wengi wao wanajua kabisa maumivu ya sindano za kaswende, pia wengine wameunganishwa kwenye gridi ya Taifa. Kuna baadhi hata uweke dau kubwa vipi hawatembelei rim.

Nanukuu "Shoga huko tunapoenda kondomu zipo kweli maana nishawahi kwenda moja ya chap chap nikaukwaa", alisikika changudoa mmoja.

3) Wanaushirikiano mkubwa
Kama kuna watu wanaushirikiano mkubwa basi hawa wanaongoza. Wapo tayari wapigiane simu kutoka hata mbali huko kuishi chumba kimoja watu 10 ili mradi kazi iende. Hawa watu huwa wanakuwaga bega kwa bega kwenye shida na raha tabu na huzuni. Kama huamini kujaribu kuwatapeli au kula mzigo halafu usilipe uone.

4) Wapo walioolewa na wanaoishi na wanaume
Siku ukienda kwenye eneo lao la kazi na kujaribu kutapeli wale wanaume wanatokea baadhi ni wanaume wa hao wadada poa. Jinsi wanavyoishi ni kwanba mwanamme ni kama vile ameolewa tu maana kazi yake ni kumkata kiu huyo mwanamke akirudi. Huudumiwa kila kitu na mwanamke.

5) Kila changudoa huwa na sehemu yake
Yani changudoa hawezi kuvamia chaka sio lake kama hajaitwa. Huwa wanaitana kila sehemu na lazima uripoti kwa mkubwa wa kambi huyo, ndiyo kama kiongozi wa eneo husika. Huyo ndiyo kama dada yao, huwapokea na kuwatafutia hata vyumba na miongozo ya hapa na pale. Hawa ndio vibopa humiliki bar au grocary au biashara yoyote kubwa nearby. Mara nyingi hufahamiana na wamiliki wa eneo husika.

6) Asilimia 75 familia zao zinafahamu shughuli zao na wamebariki hata kwa shingo upande
Hapa ni kwa wale wanaofanya sababu ya umasikini. Achana na hawa fata mkumbo au hawa shauri ya nyege.

7) Wanaongoza kwa kujichubua na kujipodoa
Kama kuna wanawake wanaongoza kujichubua na kutumia vipodizi vya gharama basi ni hawa. Lotion ikimkataa kuitupa na kununua nyingine ni chap kwa haraka. Wanajua kila aina ya lotion. Kujipamba ndio usiseme, shanga na vikuku, piko na tatooo.

8) Kama wanawake wengine pia wanatamani kuolewa na kupata watoto
Licha ya kwamba wapo wengine wanajiuza ilihali watoto wakubwa tu wapo kwa ndugu zao, especially bibi zao.
 
Kuna baadhi watamu dadeki unatamani urudie kila siku au umfungie. Msiniulize yule mzaramo mtamu wa mwanelumango sitamuacha na hata niacha kazaa na mpemba ila ngoja nilitazamie zaidi.

Tuache utani kuna midude na mishundu unaweza kujikataa.

Mpola mpola mukyitegede?!!!
 
Wewe ni jobless na still unanunua changudoa! pale nlipofikiri sitoshtushwa na wananchi wa Tz bado nakutana na vijimambo
Ndo mana nkasema nawapa kdg nilichobarikiwa, means sio kila siku na pia sio kwamba siku zote ntakuwa sina pesa. Kila mtu ana starehe yake inayomgharimu, mm sinywi pombe, sigara/club/kujirusha hizo zote kwangu mimi n hapana sasa imebak starehe moja tuu ya kugegeda ndio inayonigharimu.
 
Ndo mana nkasema nawapa kdg nilichobarikiwa, means sio kila siku na pia sio kwamba siku zote ntakuwa sina pesa. Kila mtu ana starehe yake inayomgharimu, mm sinywi pombe, sigara/club/kujirusha hizo zote kwangu mimi n hapana sasa imebak starehe moja tuu ya kugegeda ndio inayonigharimu.
Nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom