[emoji16] kaazi kweli kweliHumu post kila mtu ana hela
Kila mlalamikaji ni mwema
Kila mtoa post haumiagi akiachwa
Kila mtu alifatwa baadae na kulambwa miguu
Yaani
Mwisho tu kila mtu anaonekana kainjoi kumkomesha mwenzake.
Alowaambia nyie watoto wa mkwere kuwa mapenzi ni ubabe Nani?
By the way tu huna hata mia unajimwambafy et in a sec nampa.
Toa uoneshe uanaume wako sio maneno mengi ya kujisafisha
Humu post kila mtu ana hela
Kila mlalamikaji ni mwema
Kila mtoa post haumiagi akiachwa
Kila mtu alifatwa baadae na kulambwa miguu
Yaani
Mwisho tu kila mtu anaonekana kainjoi kumkomesha mwenzake.
Alowaambia nyie watoto wa mkwere kuwa mapenzi ni ubabe Nani?
By the way tu huna hata mia unajimwambafy et in a sec nampa.
Toa uoneshe uanaume wako sio maneno mengi km waimba taarabu
Hata kama sina kweli.simpi helaa..utajua ujuiHumu post kila mtu ana hela
Kila mlalamikaji ni mwema
Kila mtoa post haumiagi akiachwa
Kila mtu alifatwa baadae na kulambwa miguu
Yaani
Mwisho tu kila mtu anaonekana kainjoi kumkomesha mwenzake.
Alowaambia nyie watoto wa mkwere kuwa mapenzi ni ubabe Nani?
By the way tu huna hata mia unajimwambafy et in a sec nampa.
Toa uoneshe uanaume wako sio maneno mengi km waimba taarabu
Hyo fanya wewe kaka.yeye alivyonipiga kibuti ilikua sawa eeeh..Kuna kanuni unaikosea ambayo ni kama mtu amekuomba hela na unayo na ukimpa si tatizo kwako mpe. Na kama huna mwambie sina akatafute pengine.
Kuna nguvu sana kwenye kutoa (kusaidia) ambayo MUNGU ameficha huko, ndio maana watoa misaada kamwe hawafilisiki.
Siongelei kuhonga naongelea msaada wa kumkwamua mtu mwenye tatizo
Maskini wa hela tajiri wa manenoHata kama sina kweli.simpi helaa..utajua ujui
Kama una madem wakali na bado unamuongelea X ni kwamba bado unampenda, usitese nafsi yako Mkuu. RUDI nyumbani kumenogaKuna huyu binti tulidumu kwa kama miaka mi3 hiv baada ya kumaliza chuo aliniachaga sababu nilikua sina hili wala lile.
Mimi nikiachana na mtu huwa siachani kwa shari hata kama yeye ndo kanikosea...huwa najaribu kum-keep closer
Tuliachana miaka kama 6 hivi imepita ila huwa tunachat, yeye ndo msumbufu kwenye events zake muhimu lazima anialike na huwa siendi. Na mimi nilivyo kauzu namtumiaga hadi picha za mademu zangu ambao ni wakali kuliko yeye mara7..yeye hajawai ongelea rlshnp status yake hata siku 1.
Sasa aliniomba pesa kama mkopo toka mwaka jana mwishoni wala sio hela nyingi.
Sasa mimi ni kwamba nilimuahidi nitampa na asitie shaka..huku rohoni nasema...@+-#$_?$...wewe nani akupe hela...basi kila akinichek nampa sababu huu ni mwezi wa pili toka aombe hela na anajua uwezo huo wa kumpa ninao in a sec...
Keshaongea saaana sjui ana matatzo anauguliwa na ndugu yake sijui nani huko...mimi sijali
Msimamo wangu ni kumzungusha wee ategemee nitampa ila simpi ng'oo
Vita ni vita mulaa...mi huwa kisasi changu hakiishi...ma x wangu wote wanakoma na mimi.
Strategy ni ile ile. Keeping them closer.
..let them witness nigga's succes..
Uzi tayar...(usinijudge)
Wewe ni kidjana sio mwanaume, hakuna mwanaume ataweka bifu na mwanamke , wewe bado sanaVita ni vita mulaa...mi huwa kisasi changu hakiishi...ma x wangu wote wanakoma na mimi.
UtotoWewe ni mm kbsa mkuu kisasi changu kwa x wangu hakiishi Nna kesi kama hiyo yako namzungusha kila day ili nimkomeshe ajue na yy dunia duara aliniacha kwa dharau sana sa hv mungu anamuonesha na yeyeππππ