Niliachwa kisa elfu sitini

usihofu hyo her kwako utampata aliye sahihi achana nae tapeli unamsaidia nae anatoa msaada sehemu nyngne pole usijute kukosea njia ya kujifunza
 

Kwa hiyo ndio ikawa hivyo,yaani inasikitisha sana
 
pole dada kuwa makini na hawa wavaa boxer wakijua una kipato na mtoaji ni shida.
 
Bora umemuacha, japo kakupa makovu moyoni lakini ni vyema kukimbia mapenzi yasiyo na future...
...sasa utulie basi sista, usiparamie mtu hadi akili ikae sawa, ukiweza fuata njia nzuri za kupata rafiki hadi uchumba na hatimaye ndoa..

njia nzur ni zip?
 

hebu epora ni pm tuone tunasaidiana vip mana mapenz ya cku hiz yapo kimaslah zaid na wanaume wengi ndio wamekua wapga mizinga
 
usihofu hyo her kwako utampata aliye sahihi achana nae tapeli unamsaidia nae anatoa msaada sehemu nyngne pole usijute kukosea njia ya kujifunza

Mwanzonu niliumia ila now niko poa,kilichoniuma zaidi eti nisimpigie wala kumtafuta
 

mbona hiyo ni pesa nyingi sana. mimi hata buku 2 napiga mtu chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…