Niliachwa 2012

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
313
Reaction score
40
Afadhali tumeingia mwaka mwingine,mwaka uliopita umeisha vibaya sana!mpenzi wangu alichukua jukumu lakunikimbia sababu alizijua yeye.I have a had nose on that issue.Mwaka huu itabidi nijipange upya katika maswal y mahusiano.Kama mnavyojua nimuhimu sana hili swala.Heri ya mwaka mpya wadau.
 
sorry kwa kuachwa jipange upya this time around
 
Pole na hongera mzee, pamba na mapambano yanaendelea!
 
Kila jambo lina sababu zake mkuu.. Mshukuru Mungu na uanze upya 2013...
 
nakuombea uendelee kuachwa mwaka huu 2013 na wale wote utakaokutana nao wasio na mapenzi ya kweli na wewe na uaminifu kwako mpaka utakapompata atakayekufaa kwa maisha yako yote.

sema ameeeen!
 
nakuombea uendelee kuachwa mwaka huu 2013 na wale wote utakaokutana nao wasio na mapenzi ya kweli na wewe na uaminifu kwako mpaka utakapompata atakayekufaa kwa maisha yako yote.

sema ameeeen!

Mh Mc maombi gani hayo. Muombee basi hata asikutane nao kabisa.
 
akunyimae....... kakupunguzia mashuz*,
pole sana na lisongeshe mkuu
 
hahah umebwagwa men!!!
usikubali mtafute alafu mfanyie kitu mbaya!!!
 
Mh Mc maombi gani hayo. Muombee basi hata asikutane nao kabisa.

anatakiwa akutane nao sana wadanganyifu na waumiza moyo ili siku akikutana na yule wa ukweli aone utofauti na aweze kuthamini kilicho bora!unahitaji nikueleweshe zaidi?
 
anatakiwa akutane nao sana wadanganyifu na waumiza moyo ili siku akikutana na yule wa ukweli aone utofauti na aweze kuthamini kilicho bora!unahitaji nikueleweshe zaidi?

Mh! please come again.

Kwanini basi kwenye maombi hatusemi "...utuletee sisi majaribu ili tufanywe bora.." bali husema, "...utuepushe sisi na majaribu.."
 

Hongera qa kuachwa;
Bazazi anatamani sana kuachwa lakini wamekuwa ving'ang'anizi.
Kuachwa kuna raha yake; Kuanza kufanya spoting upya.
Hali inayokuruhusu uwagegede wanawake (Bazazi hawapendi wasichana) bila bughudha wala kero.
Kitu inayomkumbusha kila wakati kuvaa kifanyio.
Hakuna wa kukuuliza fweza za saluni wala vocha;
Hawakudai uwapeleke qako zaidi ya nyumba ya wageni ambao sio wageni.​
Mr Mayunga Hongera qa kuupata tena uhuru wako;
Yafurahiye maisha qanza kabla ya kujiingiza mahabusu kama sio gerezani tena.

Ushauri wa Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu.Hayo ni mapito tuu.Yupo aliye wako, mshirikishe Mungu atakuonyesha aliye ubavu wako.
Kila jambo hutokea kwa kusudi fulani.Usijute bali hiyo ni step to learn for further steps.
 
Mh! please come again.

Kwanini basi kwenye maombi hatusemi "...utuletee sisi majaribu ili tufanywe bora.." bali husema, "...utuepushe sisi na majaribu.."

ok mkuu,kifupi pointi yangu ilikuwa kumfanya yeye badala ya kuona kuachwa kama balaa na mkosi,aone kuachwa pia linaweza kuwa jambo la faida!ni hicho tu ndicho nilichotaka kumbadilisha mtoa mada!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…