Niliacha Ualimu sijutii

Niliacha Ualimu sijutii

Wazarendo [emoji23][emoji23][emoji23] kweli ilikuwa lazima uache
 
Kwa mwandiko huu bora uliacha.
Huu,, mwandiko nilikuwa sehem mbaya pia na imeniuma Sana nilipo Ona rafik yang ananipigia sim kwamba hajapata mshahara na hakuna nyongeza Kwa waliokwisha ingiziwa mishara,, mana hii kaz hata ukiacha bado kinacho enderea utakuwa,unapata taarifa , mana niliishi nao vizur, na wao wanaulizia maendeleo yang kaa naendelea vizuri ili waje au wasije,, Mwlm ndio mtu mwenye mipango mizur Sana ukimtumia,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mwandiko wako unadhalilisha sana walimu wenzako huko shule ulifundisha stadi za kazi maana naona kiswahili tu ni manjonjo matupu hapa.

Bora ungesema ulikuwa mlinzi wa shule ila siyo mwalimu.
 
Sikai kimya,,, lazima ifike mda kwa sauti moja tuseme Mwlm ndio msingi wa watumishi wote kwa nn wao jaman, mfano Kwa Mwl wa sec lazima upite form six up to university, hafu ulipwe sawa na Ness does it make sense guy,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mwalimurapa
 
Huu,, mwandiko nilikuwa sehem mbaya pia na imeniuma Sana nilipo Ona rafik yang ananipigia sim kwamba hajapata mshahara na hakuna nyongeza Kwa waliokwisha ingiziwa mishara,, mana hii kaz hata ukiacha bado kinacho enderea utakuwa,unapata taarifa , mana niliishi nao vizur, na wao wanaulizia maendeleo yang kaa naendelea vizuri ili waje au wasije,, Mwlm ndio mtu mwenye mipango mizur Sana ukimtumia,,

Sent using Jamii Forums mobile app

Bado upo sehemu mbaya??
 
Back
Top Bottom