NILHAM RASHED lini unarudi mpenzi?




Nakupenda sana mpezni wangu Mungu atakupa shifaa tutaonana kwa furaha.

  1. Si kitu kunipuuza, kwako tamaa sikati
    Kilio sitogeuza, roho yangu mahtuti
    Nilani utavyoweza, lakini sikubanduki
  2. Usirudi japo mwaka, Mimi nitakungojea
    Ukirudi nakutaka, wala sitoona haya
    Moyo wangu meridhika, sichoki kuvumiliya
  3. Wajuwa ninakupenda, ndio maana waniringiya
    . Unanifanyia inda, mapenzi kuyasusiya
    Baada ya hichi kidonda, na moto unakitiya
  4. Anayependa kikweli, hachoki kuvumiliya,
    Habadilishi kauli, hata ukimchukiya
    .



A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S%20465.gif
true love never die
A%20S%20465.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif

Nimefurahi sana kunitumia ujumbe kuwa umefika salama, najua unanijali sana na elewa nakupenda sana and no words can say how much I love you.

Mkuu, je umefuata sheria ya hatimiliki kwa hizo beti mbili za mwisho?
 
Naona hapo nakupenda nakupenda nyingi....mkuu usionyeshe sana utakuja kuteswa na usiwe na hamu na hiyo love......
 
Percy Sledge alichemsha bongo kisawasawa

When a maaaaaaaaaaaaaaan loves a wooooman . . .
 
Naona hapo nakupenda nakupenda nyingi....mkuu usionyeshe sana utakuja kuteswa na usiwe na hamu na hiyo love......

Tabu sana Wallahi, yaani usipoonyesha mapenzi unatiliwa shaka ukionyesha yanakuwa kama hayo usemayo hata sijui nifanyeje na nimesha mwambia.
 
Percy Sledge alichemsha bongo kisawasawa

When a maaaaaaaaaaaaaaan loves a wooooman . . .

We acha tu Kaka ndio nimegundua kumbe ndio maana watu huwa hawasikii hawaoni, mapenzi ugonjwa mbaya sana.
 
Back
Top Bottom