Nilesat eutelsat 7 w a eutelsat 8 wa

nictbb

Senior Member
May 18, 2012
119
9
Wataalam, nimebahatika kupata nilesat, 201, lakini nilesat tajwa hapo juu haziingii hata niki blind scan, nifanyeje, au ku yangu c nzuri? natumia offset dish ya 130cm x 120cm,ku ya ELSAT ya 0.3db na receiver ya strong technosat mpeg4 hd,

Natanguliza shukrani.
 
aisee mpaka naogopa kwakweli, sijui kama tuta fika kama mambo mdio hivi.
 
Umeipata then haiingiii ???! Mbona hujaeleweka mkuu! Unetumia tp zipi? Upo wapi? Haiwezekani uipate hiyo sate the... Inshort umejichanganya unajua maana ya nilesat??? Hehehe(nilesat hapo juu haziingii) !!!!!!!!!!! Ni shidaaaaa hizo nilesat nini ?? Channel au?????
 
kaka tusichoke ahsante kwa busara zako,unajua walimu wako tofauti,hata wale ambao waliona nimekosea nao wao kwa uelewa wao ndo hawajui zaidi,maana kama nimekosea kuuliza,je wao wenye uelewa wamemerekebisha namna swali linavyotakiwa liwe na je wamelitolea majibu?hakuna hata mmoja kati ya hao wawili aliyenirekebisha,nadhani wataalamu wote wangekuwa hivi,hakuna ambaye angejifunza kitu
 
wacha kupanic bwana mdogo,kama haujui useme mapema na sio kuuliza vitu huku unajitia ujuaji kumbe hakuna kitu. umesema umeipata sasa kwanini haiingii.?
 
kwaufupi ni kwamba umeongelea satelite3 kwa wakati mmoja, io nilesat 201 inajitegemea,eutelsat7 inajitegemea na eutel sat8 inajitegemea ila io eutelsat7 na nile ziko sehemu moja yani zote ziko apo nyuzi7 na eutel8 iko juuyake kidogo na unaweza kuzipta zote kama una dish la kutosha na ku superb.
 
Wataalam, nimebahatika kupata nilesat, 201, lakini nilesat tajwa hapo juu haziingii hata niki blind scan, nifanyeje, au ku yangu c nzuri? natumia offset dish ya 130cm x 120cm,ku ya ELSAT ya 0.3db na receiver ya strong technosat mpeg4 hd,

Natanguliza shukrani.

haya ni maajabu sana ktk sat hunting, umechanganya sat 3 zote na sat ulio ipata huuijui kama ni nile au eutelsat7au8 yan vurugu mechi. sasa izo zitaingiaje kama wewe fundi hujui hata kuzitofautisha izo sat.?
 
na we kaka ni wale wale,kama umeeelewa nilipokosea,umenirekebisha na kujibu swali langu?mimi cjui ndo mana nimeuliza kaka
 
kaka tusichoke ahsante kwa busara zako,unajua walimu wako tofauti,hata wale ambao waliona nimekosea nao wao kwa uelewa wao ndo hawajui zaidi,maana kama nimekosea kuuliza,je wao wenye uelewa wamemerekebisha namna swali linavyotakiwa liwe na je wamelitolea majibu?hakuna hata mmoja kati ya hao wawili aliyenirekebisha,nadhani wataalamu wote wangekuwa hivi,hakuna ambaye angejifunza kitu

Polee mkuu me nimejaribu kukuuliza but hujajibu maswali Yangu umeishia kulalama Yale maswali Yangu ndio ilikuwa kujua tatizo lako
 
na we kaka ni wale wale,kama umeeelewa nilipokosea,umenirekebisha na kujibu swali langu?mimi cjui ndo mana nimeuliza kaka

sasa kama hauelewi io fringe sat umeipataje.? mbona hamna ukweli nyie vijana.? kwani ukisema haujui kuhunt nilesat naomba msaada tafadhari, kutakua na ubaya gani.?kwanini ujitie ujuaji wakato hujui kitu.?

ktk nyuzi takataka humu jf hii ni moja wapo na sirudi tena kiwanja hiki asee.
 
Mpeni msaada nazani alikuwa akiwinda mambo yenu yale ya satelite(Nilesat 201)ktk kujieleza ndo naona hajaeleweka simnajua wengine kujieleza kipawa
hebu njooni mmsaidie mwl RTC,Njuwawamavoko
 
Last edited by a moderator:
Wataalam, nimebahatika kupata nilesat, 201, lakini nilesat tajwa hapo juu haziingii hata niki blind scan, nifanyeje, au ku yangu c nzuri? natumia offset dish ya 130cm x 120cm,ku ya ELSAT ya 0.3db na receiver ya strong technosat mpeg4 hd,

Natanguliza shukrani.

Nilesat haipatikani kuanzia iringa kwenda mbeya na usawa huo ikitazama kwenye intenate mwisho wake ni uganda hata hivyo kwa dish kubwa unaweza kuipata .kwa maeneo ya dsm tanga moro dom kwenda juu arusha tanga na maeneo hayo.wasiliana na na mafundi wa cable tv za dodoma na gairo wanaweza kukusaidia
 
na wewe ahsante kwa kugundua,acha papala,jibu kitu kitaalam,mtaalam yeyote huwa ana busara kaka,
 
ph,hakuna alizaliwa anajua,hata huyo mwalimu wako alirudia na kukurekebisha ulipokosea mara nyingi ili uelewe,ila kuna kitu nimekigundua,kuna wataalam ambao wanajua ila wanakurupuka kujibu ktu,mbona wengine hawako hivyo,wangapi wanakosea katika kuuliza,lakini mwenye busara anamrekebisha na kumtolea ufafanuzi,kwa tabia hii mtasababisha hata wale wageni wanaotaka kujifunza kuogopa hata kuuliza maana anajua akikosea tu kuuliza ishakuwa taabu,
 
katika watu wababaishaji japo unafahamu zaidi wewe ph ni mmojawapo kaka,wewe waiona taka taka sikatai ni maoni yako,lakini wenye busara zao na wanaojua maana ya kujifunza wanatoa ufafanuzi,muhimu kwako,kama unajiona unajua zaidi ya wengine,usikurupuke,tafakari kasha chukua hatua
 
Back
Top Bottom