Baba Hellen
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 763
- 91
Nashukuru wapambe kwakuweka wazi hilo. Historia inaniaambia mafuriko ya lishawahi kuzuiwa kwa fimbo ya musa bahari ya shamu kivipi mkono ushindwe.Fisadi utakatwa tu hakuna namna
Watu wenye akili nyingi tunajua madhara yatakayofanywa iwapo team EL watakamata hatam. Miaka 10 ijayo, nchi itakuwa damaged beyond repair!
Hivi ni kwanini nchi hii, watu wanaamini ukimaliza muda wa uongozi wa miaka mitano(5) lazima "umalizie" mingine mitano?
Logically, ni ngumu kumtoa candidate wakati dola ipo chiniyake (unless tunaongelea demokrasia zilizokomaa).
Ila hakuna lisilowezekana chini ya jua!