Nikwambie kitu wewe mwana dada

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,674
Mwanamke kujiamini bla bla za nin? Jiamini Na Jikubali Hivyo Hivyo Ulivyo; ujiambie wewe kuwa ni mzuri na unaweza kupata aina ya mwanaume yeyote ile unayemtaka. Kujiamini ni kitu chamuhimu sana kwasababu kama hujiamini, kama unajiona una mikosi, kama unaona wewe huna bahati basi utakubali mwanaume yeyote yule hata kama kakutongoza kama Mbuzi.

Nilazima useme mimi ni mzuri, utambue mapangufu yako mambo ambayo yanakuumiza kichwa lakini utambue na mazuri yako. Uweze kusema kuwa sina tako ila hili jicho hata nikimtaka Mengi nampata. Nilazima ujiamini, hii itakusaidia kwamba mwanaume hatakusumbua au kukudhalilisha kutokana na maumbile yako.
 
Usiwajaze ujinga!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wadanganye

[emoji375][emoji375]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…