D DAVIES JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 516 Reaction score 90 Dec 28, 2011 #1 Jamani naombeni mwenye kumbukumbu,mwaka jana Tigo walitoa namba kupitia sms kuwa kutafuta kazi kwa mtandao wa tigo andika neno KAZI nafasi AINA YA KAZI halafu tuma kwenda namba....... nimeisahau anayeikumbuka anitumie
Jamani naombeni mwenye kumbukumbu,mwaka jana Tigo walitoa namba kupitia sms kuwa kutafuta kazi kwa mtandao wa tigo andika neno KAZI nafasi AINA YA KAZI halafu tuma kwenda namba....... nimeisahau anayeikumbuka anitumie