Mkuu, hicho nilichohadithia hapo juu siyo movie. Ni kisanga kilichotokea juzkati wakati naenda Mwanza. Na hicho kisanga ndicho kilinifanya niikumbuke movie ya tarbulence na kuanza kuiulizia kwa wadau, coz niliiona kitambo na title ilikuwa imenitoka. Mkuu Sun Wu aliponikumbusha jina la hiyo movie (turbulence), ndiyo nikaamuwa nimuhadithie kisa changu, i mean chetu.
Thanks kwa compliments zako. Nitajitahidi kufanyia kazi ushauri wako.