Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,496
Yaaaaaahhh!!!! Kula tano kwanza mkuu. Exactly, is the same movie i was looking for. Asante sana mkuu. Unajuwa kwanini nilikuwa ninaitafuta? Nikupe story sasa. Last week jumamosi tunafika Mwanza na ndege ya asubuhi kama saa mbili hivi. Mvua inapiga mwanzo mwisho. Picha linaanza majanga, rubani anatutangazia ameshindwa kutua Mwanza. Uwanja hauonekani kutokana na ukungu na mvua nyingi. Tutaendelea kuzunguka angani mpaka tutakapopata maelekezo toka control tower from the ground. Hivi unajua definition ya 'dead silence'? unaijua!?. Si unajuwa abiria wengi wa 'nafuu nafuu' ni wageni wa anga!!! Yaani we acha. Sijakaa vizuri naona wakina mama wanazama kwenye mikoba, wanaibuka na rozary. Kinachofuata kama tupo cathedral. Hapo ndipo nikaikumbuka turbulence. Of course mtu mzima mwenzako sikuwa na wasiwasi :nono: hata kidogo. Kwanza picha linaendelea nimekaa nyuma kabisa seat ya kwenye coridor. Hapa mimi hapa wahudumu wa flight tunakula story. Nikiangalia shazi lote la watu 200, najuwa Vasco lazima atakuja kwenye mazishi yetu. Wasiwasi wa nini sasa!!!!Nafikiri inaitwa turbulence
Yaaaaaahhh!!!! Kula tano kwanza mkuu. Exactly, is the same movie i was looking for. Asante sana mkuu. Unajuwa kwanini nilikuwa ninaitafuta? Nikupe story sasa. Last week jumamosi tunafika Mwanza na ndege ya asubuhi kama saa mbili hivi. Mvua inapiga mwanzo mwisho. Picha linaanza majanga, rubani anatutangazia ameshindwa kutua Mwanza. Uwanja hauonekani kutokana na ukungu na mvua nyingi. Tutaendelea kuzunguka angani mpaka tutakapopata maelekezo toka control tower from the ground. Hivi unajua definition ya 'dead silence'? unaijua!?. Si unajuwa abiria wengi wa 'nafuu nafuu' ni wageni wa anga!!! Yaani we acha. Sijakaa vizuri naona wakina mama wanazama kwenye mikoba, wanaibuka na rozary. Kinachofuata kama tupo cathedral. Hapo ndipo nikaikumbuka turbulence. Of course mtu mzima mwenzako sikuwa na wasiwasi :nono: hata kidogo. Kwanza picha linaendelea nimekaa nyuma kabisa seat ya kwenye coridor. Hapa mimi hapa wahudumu wa flight tunakula story. Nikiangalia shazi lote la watu 200, najuwa Vasco lazima atakuja kwenye mazishi yetu. Wasiwasi wa nini sasa!!!!
Kuna mzee alikuwa kwa mbele yangu, wakati tuliporuka Dsm alipiga kili zake kadhaa. Kuja kumuangalia, kafunga swala na kili zote zimemuisha. Dizaini flani kama vile ''sijuwi maiti yangu itapatikana''. Huku wakina mama flani wako busy kuhesabu punje za tasbihi. Wengine wamefumba macho, dizaini flani wanaukemea ukungu na mvua yake, kwa jina lipitalo kila jina. Sister niliyekaa nae hakusita kutangaza ''mimi nimekoma kupanda tena ndege''. Nikamuonea huruma tu. Siku aki-atain 'enlightment' na kuziona hatari zilizopo kwenye usafiri wetu wa ardhini. Nadhani Dar - Mwanza atapiga kwa mguu.
Basi, tukakaa angani kama saa nzima hivi. Rubani akajaribu tena kutua. Akashuka, akashuka . .. . akashuka. Watu wanasililizia tu, yaani kama vile tumeshapigwa moja bila halafu tunashambuliwa. Akashuka...., speed ya tasbihi nayo inaongezeka. Akashuka...., maombi yalikuwa kimya sasa watu wananena kwa lugha. Yaani ile tairi linaramba lami tu, umati ulilipukaje kwa shangwe, mayowe na makofi. Mbavu sina, nilicheka sana. Ilikuwa ni 'a flight to remember'. Ndiyo nikasema ngojea niitafute hiyo movie.
Asante sana mkuu. Sasa najuwa nitaipata tu.
Mkuu, hicho nilichohadithia hapo juu siyo movie. Ni kisanga kilichotokea juzkati wakati naenda Mwanza. Na hicho kisanga ndicho kilinifanya niikumbuke movie ya tarbulence na kuanza kuiulizia kwa wadau, coz niliiona kitambo na title ilikuwa imenitoka. Mkuu Sun Wu aliponikumbusha jina la hiyo movie (turbulence), ndiyo nikaamuwa nimuhadithie kisa changu, i mean chetu.Infopaedia unatisha, story yako ulivyoisimulia imekua kali kuliko hata movie yenyewe, hata hivyo kipaji unacho, sio kila mtu anaweza elezea hiyo movie kwa ufasaha kiasi hicho hadi mtu aikumbuke.
Jitahidi kufanyia kazi hicho kipaji.
Ubarikiwe
Hahahahahaaa!! Hakuna bana. Sidhani kama kuna mtu alifikia huko.Ahahahah watu wakawa wanalitaja jina lipitalo majina yole patamu hapo sipat picha!!vp mkuu abiria wote walikuwa sawa kwel wakat wanashuka au wengine walishusha ile ndogo
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums