Nikubali au nikatae?

Mkumbushe kuwa wahenga walisema ukimchunguza bata huwezi kumla.
 

Sijapanic bhana tuachane na hayo
 
Last edited by a moderator:
Ze great sinker anaomba ushauri,,

Hapo kuna ugumu gani kumwambia kile unachokiona ni sahihi??? mpaka kutaka kujaza serve kwa mambo madogo kama hayo??? kweli???? mbona jibu liko wazi??
................
 
mkuu huyo mwanamke anakutafutia balaa achana na hzo vitu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…