Nikubali au nikatae?

mwambie kwanza akupe game umgonge alafu ndio umuwekee hiyo program
 
Usimuonyeshe kama hutaki, mwambie alete hyo sim kisha ichezee baada ya hapo mwambie imegoma kuingiza programu nadhani atakuelewa.
 
Hasa kama sio saiz yako urafiki wenu mmeanza vip hadi akupe mambo mumewe? We kicheche utakuwa.
 
Mkuu ogopa sana watu wanaoshare kitanda pamoja. Endapo huyo mwanamke akimjua mwenzake na ndoa ikatikisika mume akimbana au pale anapotoa ushahidi kuna uwezekano mkubwa akakutaja. Sasa fikiria mwenyewe huyo mume atachofanya.
Ni hayo tu
 
Hvi mazoea na mke wa mtu mpaka mnafikia huko yanaanzaje anzaje labda?
 
Hasa kama sio saiz yako urafiki wenu mmeanza vip hadi akupe mambo mumewe? We kicheche utakuwa.

Ningekuwa kicheche ningemla toka zaman naheshim sana ndoa za watu na bnafsi namchukulia kama sisiter wangu ukicheche aupo kwangu
 
Nakushauri kaa mbali na mke wa mtu,wewe ni fundi simu? Na umeshasema ni meaningless sasa ushauri wa nini tena boy?
 
Acha kabisa mambo ya kucheza na wake za watu.
 
Ha haaa! So you want to set fire on the dance floor! Sikilizia mziki wake. Vile wanawake hawana kifua in the end ataishia kumwambia mumewe kuwa wewe ndio umesaidia kuset mchezo!
 
Usi generalize wewe ndo umeita dogo
Hahahaaah Mkuu mimi sijakuita Dogo.

Najua ni dogo mbele ya wengi ila inawezekana si mbele yako...

Ila kwetu sisi hilo DOGO halina shida hata kidogo ni kama sifa. Nina kaka zangu ambao tunaitana DOGO na wamenizidi umri na wengine tunalingana. Usipaniki kwa kuitwa dogo,,,,,,,,,by the way kama unakaribia 30 kwangu ni dogo maana mimi naiacha 40.

c.c. Dogo Patrickn
 
Last edited by a moderator:

Dogo nani huyo anakuita dogo...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…