Sawa jamani nimewasikia lakini hivo vya zamani pia vinapendwa "old is gold".Hii ni camera ni ya kampuni iliyobobea ktk mambo ya Camera ni jina kubwa ktk mambo hayo.Bei zake siku zote zipo juu kwasababu ni Quality hata kama unaona ni 5 megapixel lakini bado inatoa picha babu kubwa.