Tamutamusana Member Joined Nov 18, 2016 Posts 46 Reaction score 39 Apr 20, 2017 #1 Kwa yeyote anayeweza kunikodisha au kuniuzia marine plywood zilizotumika. Nahitaji zaidi ya 25 Pia mbao zilizotumika za 4 by 2 zaidi ya 100 bila kusahau mirunda zaidi ya 400 Nipo dar
Kwa yeyote anayeweza kunikodisha au kuniuzia marine plywood zilizotumika. Nahitaji zaidi ya 25 Pia mbao zilizotumika za 4 by 2 zaidi ya 100 bila kusahau mirunda zaidi ya 400 Nipo dar
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 46,327 Reaction score 57,131 Apr 20, 2017 #2 Tungefanya biashara.ila hizi biashara za mitandaoni naziogopa sana
Fundi mahiri wa Ujenzi JF-Expert Member Joined Dec 10, 2012 Posts 5,015 Reaction score 4,362 Apr 20, 2017 #3 mjingamimi said: Tungefanya biashara.ila hizi biashara za mitandaoni naziogopa sana[/QUOTE Usimuogope mkuu huwezi mkodisha bila kufahamiana Click to expand...
mjingamimi said: Tungefanya biashara.ila hizi biashara za mitandaoni naziogopa sana[/QUOTE Usimuogope mkuu huwezi mkodisha bila kufahamiana Click to expand...
Fundi mahiri wa Ujenzi JF-Expert Member Joined Dec 10, 2012 Posts 5,015 Reaction score 4,362 Apr 20, 2017 #4 16marine @ 10, 000 ndani ya siku kumi. Ziko ukonga
Tamutamusana Member Joined Nov 18, 2016 Posts 46 Reaction score 39 Apr 20, 2017 Thread starter #5 Nakutafuta
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,305 Apr 20, 2017 #6 Tamutamusana said: Kwa yeyote anayeweza kunikodisha au kuniuzia marine plywood zilizotumika. Nahitaji zaidi ya 25 Pia mbao zilizotumika za 4 by 2 zaidi ya 100 bila kusahau mirunda zaidi ya 400 Nipo dar Click to expand... Hakuna marine plywood bali ni MARINE BOARD mkuu. Uko wapi?
Tamutamusana said: Kwa yeyote anayeweza kunikodisha au kuniuzia marine plywood zilizotumika. Nahitaji zaidi ya 25 Pia mbao zilizotumika za 4 by 2 zaidi ya 100 bila kusahau mirunda zaidi ya 400 Nipo dar Click to expand... Hakuna marine plywood bali ni MARINE BOARD mkuu. Uko wapi?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,305 Apr 20, 2017 #7 Tamutamusana said: Kwa yeyote anayeweza kunikodisha au kuniuzia marine plywood zilizotumika. Nahitaji zaidi ya 25 Pia mbao zilizotumika za 4 by 2 zaidi ya 100 bila kusahau mirunda zaidi ya 400 Nipo dar Click to expand... Ushauri wangu, nunua badala ya kukodisha, 70,000@marine board kuliko kukodisha kwa 10,000 kwa siku
Tamutamusana said: Kwa yeyote anayeweza kunikodisha au kuniuzia marine plywood zilizotumika. Nahitaji zaidi ya 25 Pia mbao zilizotumika za 4 by 2 zaidi ya 100 bila kusahau mirunda zaidi ya 400 Nipo dar Click to expand... Ushauri wangu, nunua badala ya kukodisha, 70,000@marine board kuliko kukodisha kwa 10,000 kwa siku
Fundi mahiri wa Ujenzi JF-Expert Member Joined Dec 10, 2012 Posts 5,015 Reaction score 4,362 Apr 20, 2017 #8 QUIGLEY said: Ushauri wangu, nunua badala ya kukodisha, 70,000@marine board kuliko kukodisha kwa 10,000 kwa siku Click to expand... Mkuu nimemaanisha 10, 000 kwa mda wa siku kumi. Usinibanie biashara mkuu
QUIGLEY said: Ushauri wangu, nunua badala ya kukodisha, 70,000@marine board kuliko kukodisha kwa 10,000 kwa siku Click to expand... Mkuu nimemaanisha 10, 000 kwa mda wa siku kumi. Usinibanie biashara mkuu