Nilidhani unaumwa sana, upo seriously ill kitandani, sasa nikajiuliza, mgonjwa gani huyo yupo serious lakini anapost humu JF !!niko very serious
Weka na picha baaaasi.....itakuwa vizuri..
Umri umenitupa sana, otherwise nimefika F6 japo matokeo nilifutiwa. Dah!
mmmh humu utaingia utazinguliwa tumimi ni kijana wa kiume (23) natafuta mchumba dini yoyote.... kabila mchaga, awe amfika angalau form six........... umri awe na miaka 18-23....................................... tuache utani nataka nitumie forum hii kupata great thinker wa kujenga nae family................
aya maliza kwanza shule....au tafuta mwalimu mwenzio maana huwa wanapigiwa chapuo sn humu ndanime niko chuo kikuu nasomea ualimu.................
me nimefika chuo kikuu........ ni mwalimu.......