Hakika hata Mimi nitakuwa Wa mwisho kuamini kuwa wabunge wote hao mahiri wamedondoshwa katika uchaguzi uliokuwa huru na haki!Yani moyo wangu uamini...
Sugu mbeya
Msigwa iringa mj
Mbowe hai
Mdee kawe
Heche Mara Prof jize mikumi
Bwege...
Bulaya
Zito kigoma
nk
et al
Hawa wamesalitiwa na wanachi hapana mtanikata shingo kuamini huu uhuni ila Ila Ila Ila Ila naaapa kwa Mungu alietuumba majibu yatajibu soon Mwenyezi Mungu hadhihakiwi.
Uzuri ni kwamba kuongoza nchi za Africa haihitaji IQ kubwa unaposema hukubali demokrasia katika nchi change ni kwasababu ya upumbavu wako maana USA baads ya unification wars waliona umuhimu wa demokrasia Sasa hizi nchi za kipumbavu na viongozi wetu wajinga ndio wanaamini kwamba wataonekana wazalendo kwa kutumia nguvu na wapuuzi kama nyie wakiwasapiti basi wanajipa legitimacy I kiukweli mpaja mfumo huu uwa tafune ndio mtajua kwanini karne ya 21 hatwahitaji madikteta. Haiingii akilini kuniaminisha kwamba ili nijenge bwawa la umeme lazima ninyamazishe watu wote 60 milioni kidume niwe mimi tu huu ni upuuzi.Mimi Nakuhurumia tuu Kijana
Hujakatazwa kupinga Au kuwa na Maono yako binafsi, Lakini sio kwa namna hii ya upingaji au kuwasilisha maono, Mara ukatwe shingo. Viapo vyako utakuja kuvikimbia hivi, Uzuri ni kwamba Uzi hautafutwa utakuja tuu kuusoma na utajawa na Guilty Consciousness Trust Me, Muda ni Mwalimu Mzuri Sana so relax chukua popcorn angalia movie
Binafsi,
" I don't support democracy ya vyama vingi kwa nchi changa kama hii yetu "
Sababu ninazo kibwena but Aaaarggghhh kuchoshana tuu siaminigi Saana kwamba nawez baridisha mtazamo wa mtu kwa Maandishi
Vitu vingine vinahitaji exposure kidogo sio tuu Mambo ya darasani ndugu zanguni
Sijui civics
Endeleeni kupiga Spana wazee hahahahh
Millions are supporting all who go against CCM and aren't puppets so is Lissu the hero.CCM inafuata mfumo ‘schema’ wako tayari kukosolewa na kama kuna chama cha upinzani credible. Vinginevyo watajikosoa wenyewe.
Tatizo sio CCM bali upinzani usio na tija, kwa upinzani uliopo sasa though not ideal lakini watanzania hatuna shida kuikosoa serikali ata kama bunge zima ni la CCM.
Aiwezekani wewe utake kuichongea nchi yako ikandamwize halafu uungwe mkono.
Never we will support ppl like that
A million ppl can’t handle the wrath of 55 million others.Millions are supporting all who go against CCM and aren't puppets so is Lissu the hero.
Uchaguzi wa juzi msingetumia polisi mngeelewa nini watanzania wanataka.watanzania thou wengi hawana tv majumbani walianza kumuona Lissu akiwapigani itv kabla ya meko sauti ya lissu ilianza kusikika kwenye vipindi vya itv wakati meko akivaa suti zake za mikono ya kufurumia na bungeni alipeove kuwa mtetezi wa wanyonge dhidi ya dola ndio maana ikamtwanga 16 bullets usitufundishe kumjua lissu wakati wewe ni wakuja mjini.A million ppl can’t handle the wrath of 55 million others.
Watanzania atuwezi kamwe kumuunga mkono mtu kama Lissu.
Maneno ya mkosaji.Uchaguzi wa juzi msingetumia polisi mngeelewa nini watanzania wanataka.watanzania thou wengi hawana tv majumbani walianza kumuona Lissu akiwapigani itv kabla ya meko sauti ya lissu ilianza kusikika kwenye vipindi vya itv wakati meko akivaa suti zake za mikono ya kufurumia na bungeni alipeove kuwa mtetezi wa wanyonge dhidi ya dola ndio maana ikamtwanga 16 bullets usitufundishe kumjua lissu wakati wewe ni wakuja mjini.
Na iwe viva Toto lako likitekwa.Maneno ya mkosaji.
Kumfananisha Lissu na Magufuli ni mbingu na ardhi.
Ilimchukua Lissu miezi kadhaa baada ya kuzunguka Tanzania kuelewa kumbe barabara, train, madaraja, vituo vya afya, ukarabati wa shule plus shughuli zingine zote za tamisemi alizokuwa akizioinga ndio shida halisi za watanzania.
Lissu akuijuwa Tanzania, Kama Magufuli anavyouijua baada ya miaka 20 ya kukaa kwenye miundombinu.
Viva Magufuli
Sasa atatekwa vipi wakati sio muhaini, yaani utunge uongo wenye madhara halafu uachwe. Akifanya ivyo wamteke tu country first.Na iwe viva Toto lako likitekwa.