Niko singo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Niko singo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Feb 8, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,390
  Likes Received: 22,272
  Trophy Points: 280
  Hivi kwanini mwanamke akimuuliza mwanaume je una mtu huwa anajibu haraka kuwa niko singo, nilisha achwa na yule niliyekuwa naye na sasa niko peke yangu hata kama nyumbani ana mke na pembeni ana nyumba ndogo?
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Kumbe ndio zenu hizooo, tangu sasa simuamini mtu anayesema yuko singo
   
 3. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naona leo buji buji wawashtaki wenzio wewe eeh?? lakini wee huna mchezo huo kweli??
   
 4. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Utakosa mwana na maji ya moto
   
 5. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Mi huwa najinadi kabisa kuwa nina mke na watoto wanne na pia huwa naorodhesha nyumba zangu ndogo nilizo nazo. Bujibuji yeye sijui gia yake ni ipi ili apate kuwanasa kirahisi
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,390
  Likes Received: 22,272
  Trophy Points: 280
  Huwa nasema usiniulize maswali mengi utanijua taratibu taratibu
   
 7. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Nimeipenda hii thread....nitarudi :laugh::laugh:
   
 8. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hehehehhhe utanambia uko singo lol... :pop2:
   
 9. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #9
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Natangaza rasmi kwa wanawake wote JF sipo singo ninae wangu kanituliza nafsi yangu mwengine sitamani.....................
   
 10. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #10
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Na wewe kwanini umuulize....................? kwani wewe upo single?
   
 11. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #11
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Twakungojea bujibuji in da hausi..................................
   
 12. E

  Edo JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Kasema yeye mimi simo !
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,390
  Likes Received: 22,272
  Trophy Points: 280
  Halafu ukija zifumania sms zangu za kimapenzi, naanza kukweleza kuwa hao ni wanawake wangu nilio letewa na mizimu ya mababu kwa ajili ya ulinzi shirikishi wa nafsi yangu, na bila ya hao naweza kufa, hivyo basi usiendelee kuniuliza mwaswali mengi. (maneno haya nitakwambia tayari nimesha jivinjari na wewe kama mara 12)
   
 14. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Mtajeee watu wamjue.
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Hahaaaa! Majibu baada ya kuchakachua! Safi sana.
   
 16. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #16
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Kaka kweli wewe ni profesheno...
  Hii mbinu yako lazima itoe matunda , yaani unaisingizia MIZIMU hivi hivi?
   
 17. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Maswali maswali yanini bana kwenye infiii?? Gonga kitu unakula kona mambo ya kujuana juana sana hayapo.

  We na uzee wote huo ukanikute singo nani kasema??
   
 18. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #18
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aaa mi sikumuuliza jamani ye ndio anambia nisimuulize nikamwambia hata nikikuuliza utanambia uko singo usiwe mkali abuy...
   
 19. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #19
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lakini kumbuka Bujibuji kuwa unatakiwa uulize na other side kwa mwanamke!!!
  The same answer utapata kutoka kwao.

   
 20. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #20
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sure, ni kwamba tunafanya mchezo wa kuigiza 'singo'
   
Loading...