Niko njia panda

Kijinga

Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
82
Reaction score
15
Mimi ni msichana mwenye umr wa miaka 28 nilikutana na mkaka fulan miaka miwili hiv iliyopita,, tukawa tumeingia ktk mahusiano but at that tym yule mkaka alikua amedivorce na wife wke ambae walifunga ndoa kanisan.

Katika kpnd hiki tulipokuwa na mahusiano ndg zake karb wote walinifaham... tuliweza kuwasiliana hta kusaidiana ktk shida mbalmbal!!!! Sasa bas chakunishangaza juz kat hpo wameanza vimbwanga nlikutana na dada zake wawil somewhere yaaan zaid ya salam hakuna kingine ambacho tulizungumza tena.

Huyo mmoja alinipa mgongo kabisa...kifup ni kuwa wote wamenichukia kabisa tena c kwa kificho wanaonesha waz waz....na am sure sina nilichowakosea tena kwa upande wngu nimekuwa nikiwapiga taf sana pale wanapokwama.

Sasa bas najiuliza kwa nini wananifanyia hvyo? Je ntakapoolewa ktk familia yao ntawaweza kwel? Mbaya zaid wako 8..... Nahic km ndoa itanishinda...Kaka yao anajua kila kitu ananiambia niwapotezee....japo na yeye tumekua na ugomvi usioisha.

Karibuni kwa ushauri...
 
Huo ugomvi usioisha na huyo jamaa unasababishwa na nini?

Heri umeliona tatizo mapema.. ''heri nusu shari kuliko shari kamili''.

Chukua hatua, ushakula free P nyingi mno kabla ya ndoa.
 
sasa hapa unataka ushauri gani wakati jibu unalo? familia nyingine si za kuolewa kwao licha kwamba ndoa ni ya watu wawili lakini kumbuka uko mbele ya safari changamoto ni nyingi.
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmmmmh! Olewa hivo hivo! Maisha ndo yalivyo sio kila sehemu utapokelewa kama malkia! DONT CHICKEN OUT AND RUN AWAY, STAY BACK TO FIGHT BACK THEM ALL, AND HAVE YOUR WAY! I AINT SAYIN IT WILL BE EASY, MAY BE HARD BUT CERTAINLY NOT IMPOSSIBLE! Dont give up what you want for what they will say. KEEP PERSUING YOUR HAPPINESS!

Some are born lucky with a kind fate, handed the silver plate some of us have to fight back to take what we want, or what is rightfully yours but fate wont let you have it,
 
Kwa nini mna ugomvi mara kwa mara ilhali hata hamjaoana?ingekuwa tatizo ni mawifi tu,ningekuambia endelea nae tu,ila kwa vile na yeye ni tatizo,piga chini na anza mbele
 
Kijinga ww ni mzinzi umevamia ndoa ya mtu.
Huwez jua hao mawifi wako walikuwa wanampenda sana wifi yao aliyetalikiwa. Kilichompata mwenzio kinakuja kwako jipange.
Mwenzio alipokuwa ananyolewa ww hukutia maji?
 
Last edited by a moderator:
Soma alama za nyakati dia...mpaka hapo ulipo nadhan ushajua what is best for you!! japokua ma wifi si ndo wanaokuoa...ila ukishaona uhusiano unakua wa ugomvi kila mara jua wazii hutakaa ufurahi huko mbelenii..do yoh best
 
Kwanza Kabisaa acha kuwasaidia....wakitaka msaada waje wenyewe kukuomba usimpe kaka
Yao awape.. na
Waje kwa adabu..
 
We Kijinga uwe unajibu maswali ya watu ili waone mwanga wakuwasaidia kukupa ushauri mzuri.
 
Last edited by a moderator:
Kijinga ww ni mzinzi umevamia ndoa ya mtu.
Huwez jua hao mawifi wako walikuwa wanampenda sana wifi yao aliyetalikiwa. Kilichompata mwenzio kinakuja kwako jipange.
Mwenzio alipokuwa ananyolewa ww hukutia maji?

C kwel... kwan huyo wif yao walikua ni moshi na pua... hata salam ilikua hakuna na mpaka sasa huwa hawaongei....Na baada ya kunifaham mm walinipa shit nying sn juu ya wif yao aliyepita ni kuwa hakuekewana na hata mmoja wao....
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini mna ugomvi mara kwa mara ilhali hata hamjaoana?ingekuwa tatizo ni mawifi tu,ningekuambia endelea nae tu,ila kwa vile na yeye ni tatizo,piga chini na anza mbele

Asante kwa ushaur wko....
 
abwage manyanga kabla ya kuanzishiwa kibao, hao mawifi zake watarajiwa wanapata nguvu ya kumnunia kwa kuwa washatambua kaka yao hana time na Kijinga

Hilo nalo neno...... Ni kwel lazima nijiulize hicho kburi kinatka wap.... ilhal nimewasaidia sn sn ktk hka kauwazo kangu kadogo nkichonacho. I have to think on that....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…