lola
Endelea nae tu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kama kashaachana na huyo Rachel, what is the problem then? Granted he was and has been up to no good but rarely you will find men with such honesty! My advise is jimwage nae ila usiache kumpa joto ya jiwe so he can learn that you are not his to use and dump when he pleases to!!!
Safi sana Boss!Lola,msikilize Boss alichosema,mtu akiamua kuwa honest,heshimu hilo!Belivdatsasa kidume kimefunguka na kukueleza ukweli
na kimeomba msamaha....na wewe unauliza ufanyaje?
ukimsamehe si ndo poa?
mnatufanya tushindwe 'kukiri' na kuomba msamaha
kwa sababu mnatumia 'kukiri na kuomba msamaha' kama silaha ya kutuadhibu...
wanaume wengi wakisoma hii post watasema huyo jamaa yako
'alikosea mno' kukueleza ukweli
angejirudisha kimya kimya bila wewe kujua kilichotokea....
Nemo Nemo Nemo............How did you calculate his honesty?? You do not even know the guy.lola
Endelea nae tu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kama kashaachana na huyo Rachel, what is the problem then? Granted he was and has been up to no good but rarely you will find men with such honesty! My advise is jimwage nae ila usiache kumpa joto ya jiwe so he can learn that you are not his to use and dump when he pleases to!!!
husinyo hata kama nitamuuliza na akanieleza itanisaidia nini si nitaendelea kuumia tu?
sasa kidume kimefunguka na kukueleza ukweli
na kimeomba msamaha....na wewe unauliza ufanyaje?
ukimsamehe si ndo poa?
mnatufanya tushindwe 'kukiri' na kuomba msamaha
kwa sababu mnatumia 'kukiri na kuomba msamaha' kama silaha ya kutuadhibu...
wanaume wengi wakisoma hii post watasema huyo jamaa yako
'alikosea mno' kukueleza ukweli
angejirudisha kimya kimya bila wewe kujua kilichotokea....
huyo akufahi kabisa mpendwa tena mkimbie haraka sana hana msimamo ni adui wako kwenye mapenzi tena muogpe, ni si kweli uenda alifan nya naye mapenzi tena bila condom
Huyo jamaa nae ni zuzu,kwa nin asingerudi kimya kimya tu?
itakusaidia kujua wapi ulikosea hadi mwenzio akateleza kwa rachel ili ujirekebishe na nini cha ziada alichonacho rachel ili ujifunze. Kama atakupa sababu ambazo zinatokana na makosa yanayorekebishika msamehe na muendeleze mambo.
Hussy ni lini mtaacha kuwalaumu/kujilaumu kwa cheating za wanaume? Men cheat because they want to. Full stop! Adam alijitetea kwa Mungu kuwa Eva ndiye kampa tunda; kwanini hakujataa? Kwani alimlisha kwa nguvu?
That man is the jackass! End of story!
Leo nimempigia simu kumwambia sina pesa nahitaji kama laki tatu, haraka haraka kanitumia, amenipigia simu nyingi sana na ameniandikia sms akinitaka niende arusha kumtembelea amenisihi sana lakini nikamwambia "nilikuja hukunichangamkia wala hukionesha kunijali kweli sijisikii kuja"amenisihi sana lakini nikamwambia kwa sasa sina muda kuna mambo yamebana sana labda Holiday za Xmass na mwaka mpya.
Nooooo that is too much of generalization , hata nyanya ziko kwa mafungu please