Nikiona sura yako itaniongezea nn????
Nilijua una dau la maana sura hata za kuchonga zimejaa kibao
Beware of ogres and leprechauns on a sleigh:becky:.
Zamani walikuwa wananiona mie sura mbaya siku izi wananiona bonge la handsomeNikiona sura yako itaniongezea nn????
Nilijua una dau la maana sura hata za kuchonga zimejaa kibao
We nyani mi hata sielewi ulicho comment hapa usije ukawa umenitusi na sijasoma aisee