jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,247
- 1,634
Wakuu habar
nimekuja kahama hapa nitakuepo kwa siku mbili!! Kuna mzigo niliufuata! Lakin niltaka nitumie muda huu kabla sijageuza kuijua kahama!!
Lakin sina mwenyeji
Kama n mwenyej wa huku au unakufaham vizur... NIPENI RAMAN
-maeneo mazur ya kutembelea
-clubs nzuri
-sehem classic
-AU SEHEM ZA KUTALII AMBAZO NI NZURI
-au vivutio vilivyopo....
Nb:info tu/ushaur tu, nitaenda mwenyewe