Wana jf niko dodoma hapa kuhudhuria vikao vya bunge kama Kuna mwana jf yyte wa jukwaa hili basi tuonane tujuane kidogo kwa Sasa Niko hapa Pestana pub mpaka usiku mkubwa so ukija hapa ni inbox

Ndio maana nimekuja kwenye jukwaa la mambo yetu sijaenda kwenye jukwaa la siasa, sidhan kama kwa jukwaa hili Kuna jambo linaweza kuleta madhara ya mtu kutafutwa
Wana jf niko dodoma hapa kuhudhuria vikao vya bunge kama Kuna mwana jf yyte wa jukwaa hili basi tuonane tujuane kidogo kwa Sasa Niko hapa Pestana pub mpaka usiku mkubwa so ukija hapo ni inbox