Sharo hiphop
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 660
- 104
sasa hapa wewe tatizo liko wapi?wasalaam MMU!kama ni kuchanganyikiwa ndo nahisi nachanganyikiwa!!Katika pitapita zangu na kujituma kwangu kumsaka mchumba ambae ni mzuri nilibahatisha kumpata mtoto wa makabila mmojawa maarufu sana ktk mkoa wetu wa Arusha.Mtoto mwenyewe si haba, mtoto mweupeee!!Mtoto wezereee!!Mtoto unywele!!Mtoto smile!!Mtoto meno meupeee!!Mtoto mguu!!Dahhhh!!na kiukweli nilikuwa nikipita nae kila mahali masela nilihisi kama kuna ka uhasama mfali, kina dada walininunia bila sababu kisa kuwaambia ukweli kuwa my hny yre(wayre nilipenda kumwita hivo) kauteka moyo wangu na naahidi kumpenda kwa dhati!!!Looo! Kuna taarifa ambazo nimeanza kuzipa kutoka kwa marafiki zangu wa mtaani kwao kwamba ile familia ni issue, mama wao aliwahi kumuua mumewe na 7bu zingine kibao zikiwa ni pamoja na kutokuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume majirani zao!!Sasa mi nitafanyeje? Kama hizi taarifa ni kweli nikijifanya naendelea nae nitaishia wapi? Naombeni ushauri wenu wapenzi wenzangu wa jf hasa MMU.ahsanteni.
kitty galore, unasahau kwamba mtoto wa nyoka ni nyoka? Kama hizo taarifa ni za kweli kwa mama yao alimuua baba siku nikimweka ndani zamu ya kufa itakuwa ya nani?sasa hapa wewe tatizo liko wapi?
Aksante umenisaidia kuuliza swali halafu mbona sioni uhusiano na uchawi hapo? Maana nlitaka kujua amejuaje kama ni mchawi?sasa hapa wewe tatizo liko wapi?
waAksante umenisaidia kuuliza swali halafu mbona sioni uhusiano na uchawi hapo? Maana nlitaka kujua amejuaje kama ni mchawi?
halijakukuta ee?wacha tu mae, coz mtu unasoma kwa bidii mpaka nukta dk ya mwisho huoni cha kuchangia,JF wakati mwingine ni vululu vululu
mwanajamii one, uchawi ninaweza nikawa nimeujua kwa kuzingatia maneno ya majirani zao, ikiwa ni pamoja na taarifa ya mama yao kumkii dingi na maza mwenyewe kutokuwa na ushirikiano unaoleweka na majirani zake.Kumbuka lisemwalo lipo na kama halipo linajongea.Aksante umenisaidia kuuliza swali halafu mbona sioni uhusiano na uchawi hapo? Maana nlitaka kujua amejuaje kama ni mchawi?
hivi unaweza kumuuliza mchawi live akakujibu kama anao?Kwani mpaka sasa bado watu wanaamini kuna uchawi? Jamani mtu akifa inakua mkataba wake wa hapa duniani umekwisha mengine yote sababu2,usiache kupenda umpendae kisa mchawi mulize ivi Eti wangu wewe mchawi manake watu wanasema hivyo, atakupa jibu
Huwezi kuchukiwa na mtaa mzima, kwa nini aogopwe?Kwa hiyo kila anaekill na mwenye mahusiano mabovu na jiranize ni mchawi? Kuna vitu hujaweka wazi
Unaona? Kwenye post kuu umesema tu maelewano mabaya hukusema kuogopwa funguka bana.Huwezi kuchukiwa na mtaa mzima, kwa nini aogopwe?
wasalaam MMU!
kama ni kuchanganyikiwa ndo nahisi nachanganyikiwa!!
Katika pitapita zangu na kujituma kwangu kumsaka mchumba ambae ni mzuri nilibahatisha kumpata mtoto wa makabila mmojawa maarufu sana ktk mkoa wetu wa Arusha.
Mtoto mwenyewe si haba, mtoto mweupeee!!
Mtoto wezereee!!
Mtoto unywele!!
Mtoto smile!!
Mtoto meno meupeee!!
Mtoto mguu!!
Dahhhh!!
na kiukweli nilikuwa nikipita nae kila mahali masela nilihisi kama kuna ka uhasama mfali, kina dada walininunia bila sababu kisa kuwaambia ukweli kuwa my hny yre(wayre nilipenda kumwita hivo) kauteka moyo wangu na naahidi kumpenda kwa dhati!!!
Looo! Kuna taarifa ambazo nimeanza kuzipa kutoka kwa marafiki zangu wa mtaani kwao kwamba ile familia ni issue, mama wao aliwahi kumuua mumewe na 7bu zingine kibao zikiwa ni pamoja na kutokuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume majirani zao!!
Sasa mi nitafanyeje? Kama hizi taarifa ni kweli nikijifanya naendelea nae nitaishia wapi?
Naombeni ushauri wenu wapenzi wenzangu wa jf hasa MMU.
ahsanteni.
nahisi kuna ukweliushauri sahihi ni muache now..hisia hujenga jambo ambalo hata kama halipo,we utaliona lipouliamini kwao ni wachawi,basi lazima mtakuja kugombana..chochote kitakachokutokea mbele,hisia zako zitakuwa wana kuroga hata kama sio kweliso bora umuache now
natafuta visa tu, siwezi kuachana nae bila sababu.Endelea naye tu, maana umeshasema mchawi, ukimwacha si atakuroga?