Niko Dilemma

Kaa na huyo kaka anayekupenda na ukakubali kuwa na mahusiano naye.kuwa na misimamo utakawafunulia wangapi.huyo rafiki yako punguza mawasiliano nae baki na huyo wa kwanza.usije ukaangukia kwy koroma bure
 
Wenzio wanajeshi kanisan kutafta wanaume wenye hofu ya Mungu, we Mungu kukupa second chance unaichezea?!!!
Kuna watu wanaishi kwenye maghorofa lakini wanashinda kanisan kuomba Mungu awabadilishe wanaume wao wae na hofu ya Mungu
Zaidi Mungu kakupa mwanaume mwenye kuona future unataka nini tena na pombe hanywi unataka Mungu akupe nini tena? Kuna watu wanawapenda Waume Wao Baada ya kuolewa
 
Binafsi naona bado umri wako ni mdogo lakini pia hebu tulia kwanza umri ukusogee,muambie ukwel huyo jamaa uliye naye asiendelee kupoteza muda kwako...wewe endelea nakutafuta hitaji la moyo wako...
 
Rusha roho taratibu hiyo shoga
Angalia usijekuwa story
Usijekuwa mfano
Usijekuwa tukio bidada
Penda unapopendwa utulizane....
we ndio yule wanamuita ruby au
 
Mume ni yule anayekupenda, mengine ni tamaa za moyo kwani umeonja onja kwingi so unalingsnisha nahisi utaopoa jitu la ovyo.
 
Dunia ni yako chaguo ni lako. Tumia fursa au iach iende iwaangukie wengine.. Uamuzi ni wako...
 
dear sio rahic kuishi na mtu unayempenda. Nilipita katika wakati kama wako, lkn ckufanya kosa nilimchagua anayenipenda sasa ni mwaka wa 9 ndoa yangu inaamani na furaha, nimejifunza kumpenda mume wangu na sasa nampenda sana. life is not a rehearsal.
 
Nilichojifunza hapa ni kuwa huyo jamaa wako wa kwanza ambae anataka kukuoa humpendi!...... Swali ambalo sina jibu nalo kwa sasa ni kwamba je inawezekana kuolewa na mtu ambae humpendi? (Somebody help me to answer this question please! )

Yes its possible ..(But its up to her ) .. Some women are very easy to fall in love to the men that are really in love with them .. I am talking this through experience , I have seen before ... Kinachotakiwa ni Honest toward the guy that he loves her .. But we are still different people .. As I said it is up to her.. For her situation asijichanganye aombe sana Mungu na kufunga .. Halafu aache kuwasiliana na huyo so called friends will bring confusion to her mind and soul.. Na kwa sababu the first guy seems patient amuaambie wafunge na kuomba pamoja kwanza kabla ya kufanya chochote ili wasikie Mungu atasema nini juu yao (wakate mawasiliano kwa muda ili kuutafuta uso wa Mungu ) .... Thanks..
 
dear sio rahic kuishi na mtu unayempenda. Nilipita katika wakati kama wako, lkn ckufanya kosa nilimchagua anayenipenda sasa ni mwaka wa 9 ndoa yangu inaamani na furaha, nimejifunza kumpenda mume wangu na sasa nampenda sana. life is not a rehearsal.

Here is the testimony.. Congrats dear .. Thanks..
 
Kaa na huyo kaka anayekupenda na ukakubali kuwa na mahusiano naye.kuwa na misimamo utakawafunulia wangapi.huyo rafiki yako punguza mawasiliano nae baki na huyo wa kwanza.usije ukaangukia kwy koroma bure
To me I think akate kabisa mawasiliano na huyo so called rafiki .. Thanks..
 

Well said.. She has to focus on prayer kwa huyo anayemmpenda na aache mawasiliano kabisa na huyo Friend wake .. Thanks..
 
Mimi siwezi kuoa au kuishi na mtu(mwanamke) ambae sijampenda, kama ninyi wanawake mnaweza basi hiyo ni miracle gift from the God to you women!!
 
Mimi siwezi kuoa au kuishi na mtu(mwanamke) ambae sijampenda, kama ninyi wanawake mnaweza basi hiyo ni miracle gift from the God!!

To men I do agree .. Men are impossible.. As I have said kwa nilichowahi kukiona before and both those couples still together until now wanaishi kwa amani .. Kinachotakiwa ni msimamo tuu .. Na ndio maana nimemuambia afunge na kuomba kuhusu huyo kaka anayemmpenda huyo dada asikie amani ya Mungu inasemaje moyoni mwake .. Hapa its not about her heart its about God`s plans toward her destiny .. Thanks..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…